Imewekwa: January 20th, 2026
Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Mheshimiwa Farida Mgomi, ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Ileje kwa kufanya vizuri katika ukusanyaji wa mapato kwa mwaka wa fedha 2025/2026, hatua aliyosema imechangia kui...
Imewekwa: January 14th, 2026
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje, Bi. Nuru Waziri Kindamba, amefungua rasmi semina ya mafunzo ya Mfumo wa Taarifa za Shule (SIS – School Information System) inayowahusisha Wakuu w...