Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa Usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19/ 6/2025 hadi 21/6/2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Pakua hapa hapa kupata Orodha ya walioitwa kwenye Usail "Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili Ileje DC.pdf
Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa