• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Matangazo |
Ileje District Council
Ileje District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Mipango, Tathimini na Takwimu
      • Elimu Sekondari
      • TASAF
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Fedha
      • Utamaduni na Michezo
      • Mawasiliano ya Serikali
      • Usimamizi wa Taka Ngumu na Usafi wa mazingira
    • Kata
      • Isongole
      • Itumba
      • Bupigu
      • Mbebe
      • Chitete
      • Malangali
      • Ikinga
      • Kafule
      • Kalembo
      • Lubanda
      • Luswisi
      • Ibaba
      • Itale
      • Ndola
      • Ngulilo
      • Mlale
      • Ngulugulu
      • Sange
    • Taasisi za Serikali
    • Mashirika ya Umma
    • Ofisi ya Mkuu Wa Wilaya
    • Ofisi ya Mbunge
    • Vyama vya Siasa
    • Viongozi wa Dini na Mila
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utaliii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fedha
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha
    • Ratiba ya Vikao
    • Kuonana na Mh. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyothibitishwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Habari za mkoa
    • Habari za kitaifa
    • Habari za kimataifa

ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA TAREHE 1 MEI HADI 7 MEI 2025

28 April 2025

Afisa Mwandikishaji Jimbo la Ileje, Bi Nuru Waziri Kindamba anawatangazia wananchi  wote wa Jimbo la Ileje kuwa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura  awamu ya pili utaanza kuanzia tarehe 1 – 7 Mei 2025 katika Vituo vilivyoanisha.

Sifa za kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura

  • Awe rai wa Tanzania
  • Awe na umri kuanzia miaka 18 na zaidi au atakayetimiza miaka 18 kabla au ifikapo siku ya uchaguzi Mkuu 2025
  • Awe mkazi wa kawaida katika jimbo au kata ambayo anaomba kujiandikisha
  • Awe na akili timamu
  • Awe hana utii kwa nchi nyingine tofauti na Tanzania
  • awe hajawekwa Kizuizini kwa Amri ya Rais
  • Awe hajatiwa hatiani kwa kosa ambalo adhabu yake kifo au hatumikii kifungo kwa  kosa ambalo adhabu yake haizidi miezi sita

Vituo vya kujiandikisha vitafunguliwa kuanzia saa 2 kamili asubuh hadi saa 12  jioni  kwa siku zote saba.

Ewe mwananchi ukijiandikisha utapewa kadi yako ya mpiga kura hapo hapo .

Kumbuka kwa wale ambao hawajahama vituo ama vitambulisho vyao havina shida yoyote  hawatahusika na zoezi hili.


Matangazo

  • HUDUMA ZA MATIBABU YA KIBINGWA May 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 09, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA TAREHE 1 MEI HADI 7 MEI 2025 April 28, 2025
  • TANGAZO LA KUFANYA USAFI SIKU YA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR April 25, 2025
  • Tembelea Zote

Mpya

  • UZINDUZI WA UJENZI WA BARABARA ISONGOLE – ISOKO WILAYANI ILEJE

    June 13, 2025
  • Wazazi Watakiwa Kuwalinda Watoto na Kuwezesha Ndoto Zao

    June 13, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Songwe Ampongeza Afisa wa Maendeleo kwa Ukusanyaji Bora wa Marejesho ya Mikopo

    June 10, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Songwe Aipongeza Halmashauri ya Ileje kwa Kupata Hati Safi

    June 10, 2025
  • Tembelea Zote

Video

DD
Video Zaidi

Tovuti Mashuhuri

  • UTUMISHI WA UMMA
  • OR - TAMISEMI
  • Songwe Region
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL FACEBOOK
  • TAUSI PORTAL

Kurasa za Karibu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa