Mkuu wa Wilaya ya Ileje Mheshimiwa Farida Mgomi anawatangazia wananchi wote wa Wilaya ya Ileje kuwa kutakuwa na huduma za kibingwa za afya kutoka kwa Madakitari Bingwa.