TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO 01 JULAI 2021 HADI JUNI 30, 2022.
A. ORODHA YA MIRADI YA MAENDELEO MWAKA WA FEDHA 2021/2022
NA CHANZO CHA FEDHA SEKTA JINA LA MRADI FEDHA ILIYOIDHINISHWA FEDHA ZILIZOPOKELEWA FEDHA ZILIZOTUMIKA HALI YA MRADI CHANGAMOTO MAONI
1 HBF AFYA Kuboresha huduma za Afya kwa Kununua madawa, vifaa tiba na mafunzo kwa watalaam,matengenezo ya gari 1 na shughuli nyingine kwa kila robo katika vituo vya afya Ibaba na Lubanda,Hospitali ya Isoko na Hospitali ya wilaya ifikapo Juni, 2022. 284,977,000 154,455,087 154,455,087 Shughuli zimefanyika
Jumla ndogo 284,977,000 154,455,087 154,455,087
5 ELIMU BILA MALIPO ELIMU MSINGI Kuwezesha fedha za Uendeshaji wa Shule Elimu Msingi (Capitation) ifikapo Juni,2022. 172,536,000 172,536,000 172,536,000 Utekelezaji umefanyika
6 ELIMU SEKONDARI Kuwezesha fedha za Uendeshaji wa Shule Elimu Sekondari (Capitation) ifikapo Juni,2022. 75,675,000 75,675,000.00 75,675,000.00 Utekelezaji umefanyika
Jumla ndogo 248,211,000 248,211,000 248,211,000
7 POSHO YA MADARAKA ELIMU MSINGI Kuwezesha fedha za posho za madaraka kwa Walimu Wakuu na maafisa Elimu Kata ifikapo Juni, 2022 258,000,000 258,000,000 258,000,000 Walimu wakuu wamelipwa posho ya madaraka kwa kila mwezi
8 ELIMU SEKONDARI Kuwezesha fedha za posho ya madaraka kwa wakuu wa Shule ifikapo Juni, 2022. 57,000,000 57,000,000 57,000,000 Wakuu wa shule wamelipwa posho yao kila mwezi
Jumla ndogo 315,000,000 315,000,000 315,000,000.00
9 CHAKULA CHA WANAFUNZI ELIMU MSINGI Kuwezesha fedha za chakula kwa wanafunzi wenye uhitaji maalum katika shule za msingi ifikapo Juni, 2022 69,795,000 69,795,000 69,795,000 Chakula kimetolewa kama ilivyopangwa kwa kila mwezi
10 ELIMU SEKONDARI Kuwezesha fedha za chakula kwa wanafunzi wa shule za Sekondari ifikapo Juni,2022. 183,060,000 183,060,000 183,060,000 Fedha zimelipwa kama ilvyopangwa.
Jumla ndogo 252,855,000 252,855,000 252,855,000
11 FIDIA YA ADA ELIMU SEKONDARI Kuwezesha fedha za fidia ya Ada kwa shule za Sekondari ifikapo Juni,2021 114,300,000 114,300,000 114,300,000 Utekelezaji umefanyika kama ilivyopangwa.
Jumla ndogo 114,300,000 114,300,000 114,300,000
12 MFUKO WA JIMBO (CDCF) MIPANGO, TAKWIMU NA UFUATILIAJI Kuwezesha fedha za kuchochea maendeleo ya jimbo kwa Jamii kwa kuchangia miradi ya maendeleo katika kata 18 ifikapo Juni,2022
Kuwezesha ununuzi wa fotocopy Mashine 1 shule ya Sekondari Ngulilo 4,000,000 4,000,000 4,000,000 Photocopy mashine imenunuliwa inafanya kazi
Kuwezesha ununuzi wa fotocopy Mashine 1 shule ya Sekondari Ibaba 4,000,000 4,000,000 4,000,000 Photocopy mashine imenunuliwa inafanya kazi
Kuwezesha ununuzi wa fotocopy Mashine 1 shule ya Sekondari Steven Kibona 4,000,000 4,000,000 4,000,000 Photocopy mashine imenunuliwa inafanya kazi
Ukarabati wa Ofisi ya Kata Luswisi 3,000,000 3,000,000 3,000,000 Ukarabati wa ofisi umefanyika
Ujenzi wa vyoo matundu 6 Sekondari ya Ngulugulu 6,164,000.00 6,164,000.00 - Kazi bado haijafanyika Barabara iliziba njia baada ya maporomoko kushuka kwenye barabara hivyo kufanya usafirishaji wa vifaa kuwa mgumu
Ukarabati wa Ofisi ya Kata Kafule 8,000,000.00 8,000,000.00 2,800,000.00 Ukarabati wa vyumba viwili vya Ofisi unaendelea
Ununuzi wa bati kupaua vyumba vya boma la madarasa shule ya Msingi Chabu. 2,000,000.00 2,000,000.00 2,000,000.00 Bati zimeshanunuliwa tayari
Ukamilishaji wa ujenzi jengo la utawala shule ya sekondari Kakoma. 5,200,000.00 5,200,000.00 5,200,000.00 Kazi ya ukarabati wa Ofisi unaendelea.
Ujenzi wa choo shule ya Msingi Yenzebwe 2,986,000.00 2,986,000.00 Uchimbaji wa shimo la choo inaendelea
Uwekaji umeme kwenye Ofisi ya Kijiji cha Itumba 550,000.00 550,000.00 550,000.00 Kazi ya kusuka nyaya imekamilika
Jumla ndogo 39,900,000 39,900,000 39,900,000.00
13 MAPATO YA NDANI MAENDELEO YA JAMII Ukamilishaji wa ujenzi ukumbi wa Halmashauri ifikapo Juni,2022 16,588,183 16,588,183 16,588,183 Ukumbi umeshapauliwa kazi inayoendelea ni kujenga nguzo za kuimarisha paa. 110,798,090.38
14 Kuwezesha mikopo na mafunzo ya ujasiliamali kwenye vikundi vya Wanawake,Vijana na wenye ulemavu ifikapo Juni, 2022 110,798,090 110,798,090 110,798,090 Mikopo imetolewa kwa vikundi mbalimbali vya wajasilia mali.
Jumla ndogo Jumla ndogo 127,386,273 127,386,273 127,386,273
17 MAPATO YA NDANI ELIMU MSINGI Ujenzi wa darasa moja katika shule ya Msingi Msia ifikapo Juni, 2022. 20,000,000 20,000,000 4,950,000 Kazi ya ujenzi inaendelea hatua ya upauaji
18 Ukarabati wa vyumba 3 vya madarasa katika shule ya Msingi Shuba ifikapo Juni, 2022. 20,000,000 20,000,000 8,000,000 Ukarabati wa vyumba 3 vya madarasa unaendelea hatua ya upauaji
Kukamilisha ujenzi wa Boma katika shule ya Msingi Mpakani 5,836,200.00 5,836,200.00 5,836,200.00 Mradi umekamilika unatumika
Jumla ndogo 45,836,200 45,836,200 18,786,200
19 ELIMU SEKONDARI Ukamilishaji wa ujenzi wa vyoo katika shule ya sekondari Ngulugulu ifikapo Juni, 2022. 6,000,000 6,000,000 - Kazi bado haijafanyika Ubovu wa barabara iliyozibwa kutokana na maporomoko kazi haijafanyika.
20 Ukamilishaji wa ujenzi wa vyoo katika shule ya sekondari Itumba ifikapo Juni, 2022. 1,500,000 1,500,000 - Maandalizi yanaendelea
21 Ukamilishaji wa ujenzi wa vyoo katika shule ya sekondari (Shinji) Mbebe ifikapo Juni, 2022. 1,500,000 1,500,000 - Hatua ya kuchimba shimo
22 Ukamilishaji wa ujenzi wa vyoo katika shule ya sekondari Ngulilo ifikapo Juni, 2022. 4,000,000 4,000,000 4,000,000 Kazi inaendelea ya kujenga ukuta
23 Ukamilishaji wa vyumba vya madarasa kwa kuvisakafia na kuvipaka rangi katika shule ya sekondari Kakoma ifikapo Juni, 2022 3,000,000 3,000,000 3,000,000 Kazi imefanyika
24 Ukamilishaji wa vyumba vya madarasa kwa kuvisakafia na kuvipaka rangi katika shule ya sekondari Ikinga ifikapo Juni, 2022 3,000,000 3,000,000 3,000,000 Vyumba 3 vya madarasa vimekarabatiwa Madarasa yanatumika baada ya kukarabatiwa.
25 Ukamilishaji wa ujenzi wa nyumba ya mwalimu katika shule ya sekondari Sange ifikapo Juni, 2022. 3,000,000 3,000,000 3,000,000 Nyumba tatu za walimu zimekarabatiwa na kuwekwa umeme Mazingira ya kufanyia kazi yameboreshwa.
Kuchangia ujenzi wa shule ya wasichana myunga 10,000,000 10,000,000 10,000,000 Ujenzi unaendelea Mchango umefanyika kutokana na maagizo ya kwamba kila wilaya ichangie shule ya wasichana Myunga.
26 Ukamilishaji wa ujenzi wa Hosteli kwa kuweka vitanda 40 na mfumo wa maji ifikapo Juni, 2022 14,457,447 14,457,447 - Utekelezaji utafanyika robo ya kwanza mwaka wa fedha 2022.2023
Jumla ndogo 46,457,447 46,457,447 23,000,000
29 AFYA Kuchangia nguvu za wananchi katika ukamilishaji wa zahanati ya kijiji cha Ilulu kwa kupiga plasta, rangi na uwekaji wa milango na madirisha ifikapo Juni, 2022 10,876,270 10,876,270 6,112,000.00 Kazi inaendelee baada ya taratibu za manunuzi kukamilika na maandalizi ya malipo kwa wazabuni yanaendelea kuandaliwa.
Kukamilisha ujenzi wa vyoo vya swashi katika zahanati 9 18,548,441 18,548,441 -
Jumla ndogo 29,424,711 29,424,711 6,112,000
30 KLIMO,UMWAGILIAJI NA USHIRIKA Uanzishwaji wa vitalu vya kahawa katika kata ya Ikinga na Kafule ifikapoJuni, 2022 6,872,525 6,872,525 6,872,525
Jumla ndogo 6,872,525 6,872,525 6,872,525
34 MIFUGO NA UVUVI Ujenzi wa Machinjio Mpya (sloator slab) ya Isongole 21,863,450.00 21,863,450.00 -
Jumla ndogo 21,863,450 21,863,450 0
35 MAPATO YA NDANI UJENZI Kufanya Matengenezo ya kuboresha na kuimarisha stendi ya mabasi ya Isongole. 19,530,000.00 19,530,000.00 -
Jumla ndogo 19,530,000 19,530,000 0
39 ARDHI NA MALIASILI Kufanya uthaminishaji wa maeneo yanaolipiwa fidia ifikapo Juni, 2022 15,147,638 15,147,638 15,147,638 Fedha zimelipiwa fidia maeneo yaliyotwaliwa kwaajili ya ujenzi wa shule ya wasichana Chitete.
40 Uendlezaji wa shughuli za anuani za makazi(POST KODI) 57,274,304 57,274,304 50,000,000.00 Kazi ya uandaji wa anuani za makazi imefanyika.
41 Kuanzisha vitalu 100 vya miti katika shule 70 za Msingi na sekondari ifikapo Juni, 2022. 3,488,012 3,488,012.00 -
Jumla ndogo 75,909,954 75,909,954 65,147,638
42 USAFI WA MAZINGIRA NA TAKA NGUMU Ujenzi wa dampo na vituo 2 vya kukusanyia taka ngumu katika mji wa Itumba/Isongole ifikapo Juni, 2022 16,804,100 16,804,100 7,660,537.18 Vizimba 2 eneo la Isongole na Itumba vimejengwa na mandalizi ya ujenjzi wa dampo yanaenelea.
Jumla ndogo 16,804,100 16,804,100 7,660,537
TAKWIMU MIPANGO NA UFUATILIAJI Ufuatiliaji wa miradi vijijini na ngazi ya Kata 53,179,740.00 53,179,740.00 - Ununuzi wa Diesel na Kulipa watendaji kufuatilia miradi vijijini imefanyika
Jumla ndogo 53,179,740 53,179,740 0
Jumla fedha za mapato ya ndani maendeleo 443,264,400 443,264,400 254,965,173
43 SERIKALI KUU AFYA Ukamilishaji wa zahanati katika Kijiji cha Shiringa fikapo Juni, 2022 50,000,000 50,000,000 0 Ukamilishaji wa ujenzi upo hatua ya awali
Ukamilishaji wa zahanati katika Kijiji cha Yenzebwe ifikapo Juni, 2022 50,000,000 50,000,000 6,952,000 Ukamilishaji wa ujenzi upo hatua ya kupiga plasta ndani na nje ya jengo
Ukamilishaji wa zahanati katika Kijiji cha Kabale ifikapo Juni, 2022 50,000,000 50,000,000 0 Ukamilishaji wa ujenzi upo hatua ya awali
Jumla ndogo 150,000,000 150,000,000 6,952,000
44 SERIKALI KUU-TOZO YA MIAMALA YA SIMU AFYA Ujenzi wa kituo cha Afya katika kata ya Ndola ifikapo Juni, 2022 500,000,000 500,000,000 340,995,657.00 Jengo la OPD na Maabara yapo hatua ya umaliziaji wa malumalu majengo mengine yapo hatua ya msingi
Jumla ndogo 500,000,000 500,000,000 340,995,657
45 SERIKALI KUU AFYA Uboreshaji wa miundombinu katika hospitali ya Wilaya Itumba ifikapo Juni, 2022 800,000,000 800,000,000 214,939,842.99 Ujenzi wa uzio na walkways zipo hatua ya kujenga Msingi na vifaa kwaajili ya umaliziaji jengo la OPD vimeandaliwa.
AFYA Ujenzi wa kituo cha afya Kata ya Itale 500,000,000.00 500,000,000.00 88,137,000.00
Jumla ndogo 1,300,000,000.00 1,300,000,000.00 303,076,843.99 303,076,843
IMF- MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO-19) AFYA Ujenzi wa nyumba ya watumishi (3in 1) katika kituo cha afya Lubanda 90,000,000.00 90,000,000.00 83,550,466 Ujenzi upo hatua ya upauaji.
IMF- MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO-19) AFYA Ujenzi wa jengo la wagonjwa mahututi (ICU)katika hospitali ya wilaya ya Itumba 250,000,000.00 250,000,000.00 100,632,594 Ujenzi upo hatua ya upauaji.
Jumla ndogo 340,000,000.00 340,000,000.00 184,183,060.00
Usambazaji wa maji na usafi wa Mazingira. (World Bank DFID) AFYA Ujenzi wa vyoo matundu 7,placenta pit ,incinerate,ukarabati wa chumba chakujifungulia na uwekaji wa mnara wa tanki la maji zahanati ya Shinji 32,500,000.00 32,500,000.00 11,193,000 Ujenzi upo hatua ya Lenta
Usambazaji wa maji na usafi wa Mazingira. (World Bank DFID) AFYA Ujenzi wa vyoo matundu 7,placenta pit ,incinerate,ukarabati wa chumba chakujifungulia na uwekaji wa mnara wa tanki la maji zahanati ya Sange 34,000,000.00 34,000,000 34,000,000 Mradi upo hatua ya kuezekwa na vifaa vya ukamilishaji kazi vimeandaliwa.
Usambazaji wa maji na usafi wa Mazingira. (World Bank DFID) AFYA Ujenzi wa vyoo matundu 7,placenta pit ,incinerate,ukarabati wa chumba chakujifungulia na uwekaji wa mnara wa tanki la maji zahanati ya Ngulugulu 33,700,000.00 33,700,000 7,482,000 Barabara iliziba njia baada ya maporomoko kushuka kwenye barabara hivyo kufanya usafirishaji wa vifaa kuwa mgumu
Usambazaji wa maji na usafi wa Mazingira. (World Bank DFID) AFYA Ujenzi wa vyoo matundu 7,placenta pit ,incinerate,ukarabati wa chumba chakujifungulia na uwekaji wa mnara wa tanki la maji zahanati ya Luswisi 34,000,000.00 34,000,000 34,000,000 Ujenzi upo hatua ya kupandisha ukuta na vifaa kwaajili ya kumalizia ujenzi vimenunuliwa tayari.
Usambazaji wa maji na usafi wa Mazingira. (World Bank DFID) AFYA Ujenzi wa vyoo matundu 7,placenta pit ,incinerate,ukarabati wa chumba chakujifungulia na uwekaji wa mnara wa tanki la maji zahanati ya Msia 30,000,000.00 30,000,000 26,932,100 Ujenzi upo hatua ya kufunga Lenta
Jumla ndogo 164,200,000.00 164,200,000.00 113,607,100.00
SERIKALI KUU ELIMU SEKONDARI Ukamilishaji wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya sekondari Kakoma ifikapo Juni,2022 25,000,000 25,000,000 19,387,500 Mradi umekamilika unatumika
Ukamilishaji wa chumba kimoja cha darasa katika shule ya sekondari Itumba ifikapo Juni,2022 12,500,000 12,500,000 11,720,000 Mradi umekamilika unatumika
Ukamilishaji wa chumba kimoja cha darasa katika shule ya sekondari Mbebe ifikapo Juni,2022 12,500,000 12,500,000 11,227,000 Ujenzi upo hatua za ukamilishaji
Ukamilishaji wa chumba kimoja cha darasa katika shule ya sekondari Msomba ifikapo Juni,2022 12,500,000 12,500,000 11,673,500 Mradi umekamilika unatumika
Ukamilishaji wa chumba kimoja cha darasa katika shule ya sekondari Nakalulu ifikapo Juni,2022 12,500,000 12,500,000 12,500,000 Mradi umekamilika unatumika
Ukamilishaji wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya sekondari Ngulugulu ifikapo Juni,2022 25,000,000 25,000,000 17,700,000 Mradi umekamilika bado ufungaji wa alminium.
Ukamilishaji wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya sekondari Sange ifikapo Juni,2022 25,000,000 25,000,000 18,879,000 Ujenzi umekamilika kwasasa wanamalizia kutengeneza dawati 40
Jumla ndogo 125,000,000 125,000,000 103,087,000.00
48 SERIKALI KUU ELIMU SEKONDARI Ukamilishaji wa vyumba 2 vya maabara ya masomo ya sayansi katika shule ya sekondari Lubanda ifikapo Juni, 2022 30,000,000 30,000,000 0 Wamesha mwaga janvi na sasa hatua inayoendelea ni kupandisha ukuta.
Ukamilishaji wa vyumba 2 vya maabara ya masomo ya sayansi katika shule ya sekondari Itumba ifikapo Juni, 2022 30,000,000 30,000,000 0 Ujenzi upo hatua ya msingi
Ukamilishaji wa vyumba 2 vya maabara ya masomo ya sayansi katika shule ya sekondari Ibaba ifikapo Juni, 2022 30,000,000 30,000,000 0 Ujenzi upo hatua ya msingi
Ukamilishaji wa vyumba 2 vya maabara ya masomo ya sayansi katika shule ya sekondari Ndola ifikapo Juni, 2022 30,000,000 30,000,000 0 Ujenzi upo hatua ya kupima msingi
Ukamilishaji wa vyumba 2 vya maabara ya masomo ya sayansi katika shule ya sekondari Itale ifikapo Juni, 2022 30,000,000 30,000,000 0 Ujenzi upo hatua ya msingi
Ujenzi wa vyumba 2 vya maabara ya masomo ya sayansi katika shule ya Sekondari ya Shinji ifikapo juni,2022. 62,500,000 62,500,000 0 Ujenzi upo hatua ya msingi
Jumla ndogo 212,500,000 212,500,000 0
49 Multilateral UNICEF AFYA (LISHE & USTAWI WA JAMII) Kuwezesha kufanyika kwa shughuli za Lishe na Ustawi wa jamii katika wilaya ifikapo Juni, 2022 . 177,039,000 124,960,500.00 124,960,500.00 Utekelezaji umefanyika
AFYA (LISHE & USTAWI WA JAMII) Kuwezesha kufanyika kwa shughuli za Lishe na Ustawi wa jamii katika wilaya ifikapo Juni, 2022 . 13,400,000 3,350,000.00 3,350,000.00 Utekelezaji umefanyika
50 MAENDELEO YA JAMII Kuwezesha uandikishaji wa watoto chini ya umri wa miaka 5 ifikapo Juni, 2022 10,000,000 2,500,000.00 2,500,000.00 Utekelezaji umefanyika
51 ELIMU MSINGI Kuwezesha kufanyika kwa shughuli za Elimu Msingi katika wilaya ifikapo Juni, 2022 . 25,331,000 10,710,000.00 10,710,000.00 Utekelezaji umefanyika
Jumla fedha za UNICEF 225,770,000 141,520,500 141,520,500
52 EP4R ELIMU MSINGI Ujenzi wa miundombinu ya shule katika shule za msingi ifikapo Juni, 2022 Tsh.346,581,500
Ujenzi wa jengo la Utawala shule ya msingi Ipanga 50,000,000.00 50,000,000.00 45,317,574.33 Hatua ya kupandisha ukuta
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa shule ya msingi Ipanga 40,000,000.00 40,000,000.00 38,750,510.64 Ujenzi umekamilika na madarasa yanatumika
Ujenzi wa Matundu 6 ya vyoo shule ya msingi Ipanga 6,600,000.00 6,600,000.00 5,935,000 Ujenzi umekamilika
Ujenzi wa Matundu 6 ya vyoo shule ya msingi Ikumbilo 6,600,000.00 6,600,000.00 6,600,000.00 Ujenzi umekamilika
Ujenzi wa Matundu 6 ya vyoo shule ya msingi Isongole 6,600,000.00 6,600,000.00 6,600,000.00 Ujenzi umekamilika
Ujenzi wa Matundu 6 ya vyoo shule ya msingi Itale 6,600,000.00 6,600,000.00 6,600,000.00 Ujenzi umekamilika
Ujenzi wa jengo la Utawala shule ya msingi mpya Isongole 50,000,000.00 50,000,000.00 40,314,692 Hatua ya upauaji
Ujenzi wa vyumba 11 vya madarasa shule ya msingi mpya ya Ipapa (Isongole) 220,000,000.00 220,000,000.00 211,673,807 Hatua ya umaliziaji
Ujenzi wa nyumba 2( 2 in 1) katika shule mpya Ipapa (Isongole) 100,000,000.00 100,000,000.00 68,647,400 Hatua ya upauaji
Ujenzi wa Matundu 24 ya vyoo shule ya msingi mpya Ipapa (Isongole) 26,400,000.00 26,400,000.00 21,158,300 Umaliziaji
Kusafisha shule mpya ya Isongole(Ipapa) 3,600,000.00 3,600,000.00 3,600,000.00 Kazi imefanyika
Ujenzi wa jengo la Utawala shule ya msingi Kalembo 50,000,000.00 50,000,000.00 27,169,629.30 Hatua ya madirisha
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa shule ya msingi Kalembo 40,000,000.00 40,000,000.00 36,937,635.55 Ujenzi umekamilika na madarasa yanatumika
Ujenzi wa Matundu 6 ya vyoo shule ya msingi Kalembo 6,600,000.00 6,600,000.00 5,367,460 Ukamilishaji wa shimo
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa shule ya msingi Muungano 40,000,000.00 40,000,000.00 39,996,000 Hatua ya ukamilishaji
Ujenzi wa Matundu 6 ya vyoo shule ya msingi Muungano 6,600,000.00 6,600,000.00 6,595,000 Hatua ya ukamilishaji
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa shule ya msingi Shuba 40,000,000.00 40,000,000.00 33,836,900 Ukamilishaji wa shimo
Ujenzi wa Matundu 6 ya vyoo shule ya msingi Shuba 6,600,000.00 6,600,000.00 1,500,000 Hatua ya shimo
Ujenzi wa mfumo wa kunawia mikono na uvunaji wa maji ya mvua katika shule msingi Ikumbilo 11,872,379.85 11,872,379.85 4,900,000 Ujenzi umefanyika eneo la kunawia mikono.
Ujenzi wa mfumo wa kunawia mikono na uvunaji wa maji ya mvua katika shule ya sekondari Nakalulu ifikapo Juni,2022 11,872,379.85 11,872,379.85 11,826,780 Mradi umefikia hatua ya ukamilishaji
Ujenzi wa mfumo wa kunawia mikono, uvunaji wa maji ya mvua, uunganishwaji wa maji ya bomba na uchimbaji wa kisima kirefu katika shule ya msingi Ishinga. 31,872,379.85 31,872,379.85 26,445,000.00 Hatua za upimaji wa Msingi
Jumla ndogo 761,817,139.55 761,817,139.55 649,771,688.82
SERIKALI KUU Ukamilishaji wa ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya Msingi Chembe ifikapo Juni,2022. 25,000,000.00 25,000,000.00 8,085,500 Hatua ya ukamilishaji
Ukamilishaji wa ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya Msingi Ipoka ifikapo Juni,2022. 25,000,000.00 25,000,000.00 9,542,000.00 Darasa moja limekamilika na linguine lipo hatua ya uwekaji wa fisher board
Ukamilishaji wa ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya Msingi Ishinga ifikapo Juni,2022. 25,000,000.00 25,000,000.00 0 Hatua ya Lenta
Ukamilishaji wa ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya Msingi Kalembo ifikapo Juni,2022. 25,000,000.00 25,000,000.00 8,309,800.00 Hatua ya skimming
Ukamilishaji wa ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya Msingi Kapeta ifikapo Juni,2022. 25,000,000.00 25,000,000.00 0 Upauaji
Ukamilishaji wa ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa katika shule ya Msingi Msia ifikapo Juni,2022. 37,110,000.00 37,110,000.00 33,407,500 Hatua ya upauaji
Ukamilishaji wa ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya Msingi Yenzebwe ifikapo Juni,2022. 25,000,000.00 25,000,000.00 18,867,100 Hatua ya umaliziaji
Jumla ndogo 187,110,000.00 187,110,000.00 78,211,900.00 78,211,900
IMF- MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO-19 Ujenzi wa madarasa 2 na ofisi shule ya msingi shikizi Lusungo 40,000,000.00 40,000,000.00 40,000,000.00 Ujenzi umekamilika
IMF- MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO-19 Ujenzi wa madarasa 2 na ofisi shule ya msingi shikizi Ipesi 40,000,000.00 40,000,000.00 40,000,000.00 Ujenzi umekamilika
IMF- MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO-19 Ujenzi wa madarasa 2 na ofisi shule ya msingi shikizi Mangwina 40,000,000.00 40,000,000.00 40,000,000.00 Ujenzi umekamilika
IMF- MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO-19 Ujenzi wa madarasa 2 na ofisi shule ya msingi shikizi Ibandi 40,000,000.00 40,000,000.00 40,000,000.00 Ujenzi umekamilika
Jumla ndogo 160,000,000.00 160,000,000.00 160,000,000.00 Ujenzi umekamilika
54 SEQUIP ELIMU SEKONDARI Ujenzi wa miundombinu ya shule katika shule za sekondari ifikapo Juni, 2022 1,238,400,000 0 0 Ujenzi umekamilika
Ujenzi wa shule mpya katika kata ya Chitete ifikapo Juni,2022. 470,000,000.00 57,860,347.00 Ujenzi umekamilika
Jumla ndogo 1,238,400,000 470,000,000 0
IMF- MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO-19 ELIMU SEKONDARI Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa na ofisi 1 katika shule ya sekondari ya Bupigu ifikapo Juni,2022. 40,000,000.00 40,000,000.00 40,000,000 Ujenzi umekamilika
Ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa na ofisi 1 katika shule ya sekondari ya Ikinga ifikapo Juni,2022 60,000,000.00 60,000,000.00 56,595,999 Ujenzi umekamilika
Ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa na ofisi 1 katika shule ya sekondari ya Ileje ifikapo Juni,2022. 60,000,000.00 60,000,000.00 57,978,372 Ujenzi umekamilika
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa na ofisi 1 katika shule ya sekondari ya Itumba ifikapo Juni,2022. 40,000,000.00 40,000,000.00 40,000,000 Ujenzi umekamilika
Ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa na ofisi 1 katika shule ya sekondari ya Kafule ifikapo Juni,2022. 60,000,000.00 60,000,000.00 52,974,802 Ujenzi umekamilika
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa na ofisi 1 katika shule ya sekondari ya Kakoma ifikapo Juni,2022. 40,000,000.00 40,000,000.00 37,978,449 Ujenzi umekamilika
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa na ofisi 1 katika shule ya sekondari ya Luswisi ifikapo Juni,2022 40,000,000.00 40,000,000.00 40,000,000 Ujenzi umekamilika
Ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa na ofisi 1 katika shule ya sekondari ya Mbebe ifikapo Juni,2022. 60,000,000.00 60,000,000.00 58,279,579 Ujenzi umekamilika
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa na ofisi 1 katika shule ya sekondari ya Mlale ifikapo Juni,2022. 40,000,000.00 40,000,000.00 39,607,909 Ujenzi umekamilika
Ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa na ofisi 1 katika shule ya sekondari ya Nakalulu ifikapo Juni,2022. 60,000,000.00 60,000,000.00 59,745,373 Ujenzi umekamilika
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa na ofisi 1 katika shule ya sekondari ya Steven Kibona ifikapo Juni,2022. 40,000,000.00 40,000,000.00 39,455,523 Ujenzi umekamilika
Ujenzi wa vyumba 4 vya madarasa na ofisi 2 katika shule mpya ya sekondari ya Shinji ifikapo June,2022. 80,000,000.00 80,000,000.00 71,704,600 Ujenzi umekamilika
Jumla ndogo 620,000,000.00 620,000,000.00 594,320,606.00 594,320,606
SERIKALI KUU-TOZO YA MIAMALA YA SIMU ELIMU SEKONDARI Kukamilisha ujenzi wa chumba 1 cha madarasa katika shule ya sekondari Kafule 12,500,000.00 12,500,000.00 10,720,500 Ujenzi umekamilika
Kukamilisha ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya sekondari Mbebe 25,000,000.00 25,000,000.00 24,985,500 Ujenzi umekamilika
Jumla ndogo 37,500,000.00 37,500,000.00 35,706,000.00 35,706,000
55 TASAF MAENDELEO YA JAMII Kupunguza umasikini kwa kaya zenye kipato duni ifikapo Juni, 2022. 969,881,000 1,019,617,992.00 941,991,492.00 Walengwa 5,110 walilipwa malipo yao Jumla ya Tsh.16,705,300 hazikulipwa kutokana na vifo,Kuhama na kutofika siku ya malipo.
Jumla ya fedha za TASAF 969,881,000 1,019,617,992 941,991,492.00
56 PEPFAR AFYA Kuwezesha kutekeleza shughuli za jamii ifikapo Juni,2022. 161,146,000 0.00 -
Jumla ya fedha za PEPFAR 161,146,000 0 0
57 Global Fund AFYA Kutekeleza shughuli za Malaria na Kifua Kikuu ifikapo Juni, 2022. 29,158,785 29,158,785 0
Ujenzi wa DOT Centre katika kituo cha Afya Lubanda. 55,341,215 55,341,215 40,061,840
Jumla ya fedha za Global Fund 84,500,000 84,500,000 40,061,840
58 NTD AFYA Kutekeleza shughuli za magonjwa yasiyopewa kipaumbele ifikapo Juni, 2022. 15,549,000 0 0
Jumla ya fedha za NTD 15,549,000 0 0
59 Global Alliance for Vaccines & Immunization-GAVI AFYA Kutekeleza shughuli za chanjo katika vituo vya kutolea huduma za afya ifikapo Juni, 2022. 11,376,000 0 -
Jumla ya fedha za GAVI 11,376,000 0 -
60 BILATERAL DFID AFYA Ukarabati wa Zahanati 12 za, Malangali, Ishenta, mlale, Itale, Sheyo, Mbebe, Kapelekesi, Bupigu, Chabu, Mabula, Ikumbilo na Isongole ifikapo Juni, 2022 135,800,000 0 -
Jumla ndogo 135,800,000 0 0
B: Jumla kuu bajeti 2021/2022 maendeleo 9,099,056,540 7,841,751,118 5,073,171,947.81
Naomba kuwasilisha
Laurent k Mwanyemele
KNY: AFISA MIPANGO (W)