Imewekwa: July 2nd, 2025
Katika kuimarisha ulinzi wa afya ya umma katika maeneo ya mipakani, siku ya leo Wilaya ya Ileje mkoani Songwe imeandaa kikao cha ujirani mwema kilichowakutanisha viongozi na wataalamu kutoka mataifa y...
Imewekwa: June 13th, 2025
Uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya kutoka Isongole hadi Isoko umefanyika leo Juni 13, 2025, katika kijiji cha Chabu, kata ya Bupigu wilayani Ileje. Mradi huu mkubwa unagharimu kiasi cha shilingi bilion...
Imewekwa: June 13th, 2025
Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika katika Wilaya ya Ileje yamefanyika kwa mafanikio makubwa katika kata ya Itale, yakihudhuriwa na viongozi wa serikali, wazazi, walimu, pamoja na wanafunzi kutoka ...