Imewekwa: March 11th, 2020
Walimu Wilayani Ileje mkoani Songwe wametakiwa kufuata taratibu za kazi ili kuepusha kuwatwisha mizigo Walimu wakuu na Wakuu wa Shule.
Wito huo ulitolewa hivi karibuni na Mkurugenzi Mtenda...
Imewekwa: February 24th, 2020
Wanafunzi wa Shule za Sekondari wilayani Ileje wamepata elimu ya uzalendo huku wakitakiwa kutafsiri kwa vitendo elimu hiyo na kulifanya Taifa kuwa na raia wenye uzalendo wa kweli.
Zoezi hilo,limefa...
Imewekwa: February 14th, 2020
Ileje-Songwe
Karibu vijana 50 wanatarajia kuanza rasmi mafunzo ya Ufundi Stadi katika Chuo cha VETA kilichopo Wilayani Ileje Mkoani Songwe hapo siku ya Jumatatu juma lijalo.
Akizungumza katika m...