Imewekwa: June 6th, 2025
Katibu Tawala wa Wilaya ya Ileje, Abdallah Mayomba, amewapongeza wauguzi kwa kujituma na kufanya kazi kwa bidii katika kuwahudumia wagonjwa. Amesema juhudi zao zimekuwa msaada mkubwa kwa wananchi wana...
Imewekwa: June 6th, 2025
Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani yamefanyika mapema leo tarehe 6 Juni 2025 katika Wilaya ya Ileje, yakihudhuriwa na wauguzi kutoka vituo mbalimbali vya afya na zahanati. Maadhimisho hayo yaliong...
Imewekwa: June 5th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Mheshimiwa Farida Mgomi, ametoa wito kwa wananchi wa Kijiji cha Msia, Kata ya Chitete, kuwa na utamaduni wa kutunza mazingira kwa kufanya usafi wa maeneo yao na kulinda vyanzo...