• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Matangazo |
Ileje District Council
Ileje District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Mipango, Tathimini na Takwimu
      • Elimu Sekondari
      • TASAF
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Fedha
      • Utamaduni na Michezo
      • Mawasiliano ya Serikali
      • Usimamizi wa Taka Ngumu na Usafi wa mazingira
    • Kata
      • Isongole
      • Itumba
      • Bupigu
      • Mbebe
      • Chitete
      • Malangali
      • Ikinga
      • Kafule
      • Kalembo
      • Lubanda
      • Luswisi
      • Ibaba
      • Itale
      • Ndola
      • Ngulilo
      • Mlale
      • Ngulugulu
      • Sange
    • Taasisi za Serikali
    • Mashirika ya Umma
    • Ofisi ya Mkuu Wa Wilaya
    • Ofisi ya Mbunge
    • Vyama vya Siasa
    • Viongozi wa Dini na Mila
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utaliii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fedha
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha
    • Ratiba ya Vikao
    • Kuonana na Mh. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyothibitishwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Habari za mkoa
    • Habari za kitaifa
    • Habari za kimataifa

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Ampongeza Afisa wa Maendeleo kwa Ukusanyaji Bora wa Marejesho ya Mikopo

Imewekwa: June 10th, 2025

 Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mheshimiwa Daniel Chongolo, ametoa pongezi kwa Kaimu Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje, Bw. David Gunza, kwa kazi nzuri ya ukusanyaji wa marejesho ya mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na Halmashauri kwa vikundi vya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu kwa mwaka wa fedha 2021/2022 hadi 2023. 

        


                                                           

Mheshimiwa Chongolo alitoa pongezi hizo wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani kilichoketi kujadili hoja za Mkaguzi wa Hesabu za Serikali, ambapo alimtunuku Bw. Gunza zawadi ya shilingi laki tano (Tsh 500,000) kama ishara ya kuthamini juhudi na uwajibikaji wake.

Katika hotuba yake, Mkuu wa Mkoa aliwataka watumishi wengine wa umma kuiga mfano wa uadilifu na kujituma unaoonyeshwa na Bw. Gunza, akisisitiza kuwa mafanikio ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo yanategemea uwajibikaji wa kila mtumishi.

“Naomba niwasihi wote kuendelea kufanya kazi kwa bidii na uadilifu kwa maslahi ya wananchi na maendeleo ya taifa,” alisema Mheshimiwa Chongolo.

Mikopo hiyo ya asilimia kumi hutolewa kwa mujibu wa sheria kwa lengo la kuwawezesha kiuchumi makundi maalum katika jamii, na urejeshwaji wake unasaidia kuendeleza mfuko huo kwa wanufaika zaidi.

Matangazo

  • HUDUMA ZA MATIBABU YA KIBINGWA May 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 09, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA TAREHE 1 MEI HADI 7 MEI 2025 April 28, 2025
  • TANGAZO LA KUFANYA USAFI SIKU YA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR April 25, 2025
  • Tembelea Zote

Mpya

  • Mkuu wa Mkoa wa Songwe Ampongeza Afisa wa Maendeleo kwa Ukusanyaji Bora wa Marejesho ya Mikopo

    June 10, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Songwe Aipongeza Halmashauri ya Ileje kwa Kupata Hati Safi

    June 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

    June 09, 2025
  • Katibu Tawala wa Wilaya ya Ileje Awapongeza Wauguzi

    June 06, 2025
  • Tembelea Zote

Video

DD
Video Zaidi

Tovuti Mashuhuri

  • UTUMISHI WA UMMA
  • OR - TAMISEMI
  • Songwe Region
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL FACEBOOK
  • TAUSI PORTAL

Kurasa za Karibu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa