Imewekwa: November 20th, 2021
Wakati Mkoa wa Songwe ukiendelea na kampeni ya kutokomeza udumavu kwa watoto jumla ya watoa huduma 38 kutoka maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Ileje wanapatiwa elimu ya kukabiliana na tatizo hilo.
Maf...
Imewekwa: November 17th, 2021
Zikiwa ni siku chache zimepita tangu Mkuu wa Wilaya ya Ileje apige marufuku mikesha ya makanisani kwa watoto chini ya miaka 18, wilaya hiyo imekuwa miongoni mwa wilaya zilizofanyiwa majaribio ya jumbe...
Imewekwa: October 21st, 2021
Watalaam wa lishe wilayani Ileje wameendelea na utoaji wa elimu katika Kijiji cha Igumila Kata ya Ndola kikiwa ni kijiji cha nne kufikiwa na timu hiyo katika kampeni ya kukomesha udumavu wa wato...