Imewekwa: May 27th, 2020
Vikao kwaajili ya kupata uelewa kuhusu Mradi wa Bonde la Mto Songwe vimeanza kwa wataalam na Wahe. Madiwani Wilayani Ileje Mkoani Songwe katika Ukumbi wa Hoteli ya VIM mjini Itumba Wilayani humo.
A...
Imewekwa: May 12th, 2020
Wakati Dunia nzima ipo kwenye mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid-19 wakazi wa Mkoa wa Songwe wametakiwa kuwalinda wanafunzi wa kike ili kuwaepusha dhidi ya mimba.
Wito huo ulitolewa...
Imewekwa: May 7th, 2020
Ileje FM ambayo ni redio ya Jamii katika Halmashauri ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe imeanza rasmi kurusha masomo kwa shule za msingi kuanzia Darasa la IV-VII redioni ili kuwasaidia wanafunzi kuendel...