Imewekwa: May 12th, 2020
Wakati Dunia nzima ipo kwenye mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid-19 wakazi wa Mkoa wa Songwe wametakiwa kuwalinda wanafunzi wa kike ili kuwaepusha dhidi ya mimba.
Wito huo ulitolewa...
Imewekwa: May 7th, 2020
Ileje FM ambayo ni redio ya Jamii katika Halmashauri ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe imeanza rasmi kurusha masomo kwa shule za msingi kuanzia Darasa la IV-VII redioni ili kuwasaidia wanafunzi kuendel...
Imewekwa: May 1st, 2020
“Msiwaingize raia wa kigeni katika maboresho ya Daftari la Wapiga Kura”DED wa Ileje awataka wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje.
Katika kuhakikisha Watanzania wanashiriki vema kwenye Uchaguz...