Imewekwa: June 5th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Mheshimiwa Farida Mgomi, ametoa wito kwa wananchi wa Kijiji cha Msia, Kata ya Chitete, kuwa na utamaduni wa kutunza mazingira kwa kufanya usafi wa maeneo yao na kulinda vyanzo...
Imewekwa: June 4th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Mheshimiwa Farida Mgomi, leo amefanya ziara ya ukaguzi wa utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya barabara ndani ya wilaya hiyo, akilenga kukagua maendeleo ya kazi zinazoendel...
Imewekwa: May 31st, 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje, Bi Nuru Waziri Kindamba, ameongoza hafla ya kuwaaga madaktari bingwa wa Mama Samia waliokuwa katika kambi maalum ya matibabu ya kibingwa katika H...