Imewekwa: March 23rd, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Chitipa kutoka nchini Malawi Mhe.MaCMillani Magomero ameongoza timu ya watalaam wa utekelezaji wa Mradi wa Bonde la Mto Songwe kutembelea Wilaya ya Ileje kwa lengo la kujifunza uhifa...
Imewekwa: March 22nd, 2023
Kiasi cha Tzsh.Bilioni 5.7 zimetolewa na serikali kwa ajili ya ujenzi wa barabara yenye urefu wa km 5 na kuondokana na kilometa 38 za awali kutoka kwenye machimbo ya makaa ya mawe ya Kabulo hadi kweny...
Imewekwa: February 23rd, 2023
Maafisa Watendaji wa Kata waliogawiwa pikipiki wilayani Ileje wametakiwa kuzitumia kwa manufaa ya umma badala ya shughuli zao binafsi.
Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe.Farida Mgomi kat...