Imewekwa: February 14th, 2020
Ileje-Songwe
Karibu vijana 50 wanatarajia kuanza rasmi mafunzo ya Ufundi Stadi katika Chuo cha VETA kilichopo Wilayani Ileje Mkoani Songwe hapo siku ya Jumatatu juma lijalo.
Akizungumza katika m...
Imewekwa: February 13th, 2020
Ileje-Songwe
Vijana wa rika balehe wilayani Ileje wametakiwa kujenga misingi ya tabia njema ili kufikia ndoto zao na kuepukana na vitendo visivyokubalika katika jamii.
Vijana hao wenye umri kati...
Imewekwa: February 12th, 2020
Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Ileje imekagua Miradi ya Maendeleo inayoendelea kutekelezwa huku ikikerwa na huduma zinavyotolewa katika Hospitali ya Wilaya pa...