• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Matangazo |
Ileje District Council
Ileje District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Mipango, Tathimini na Takwimu
      • Elimu Sekondari
      • TASAF
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Fedha
      • Utamaduni na Michezo
      • Mawasiliano ya Serikali
      • Usimamizi wa Taka Ngumu na Usafi wa mazingira
    • Kata
      • Isongole
      • Itumba
      • Bupigu
      • Mbebe
      • Chitete
      • Malangali
      • Ikinga
      • Kafule
      • Kalembo
      • Lubanda
      • Luswisi
      • Ibaba
      • Itale
      • Ndola
      • Ngulilo
      • Mlale
      • Ngulugulu
      • Sange
    • Taasisi za Serikali
    • Mashirika ya Umma
    • Ofisi ya Mkuu Wa Wilaya
    • Ofisi ya Mbunge
    • Vyama vya Siasa
    • Viongozi wa Dini na Mila
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utaliii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fedha
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha
    • Ratiba ya Vikao
    • Kuonana na Mh. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyothibitishwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Habari za mkoa
    • Habari za kitaifa
    • Habari za kimataifa

MIICO waungana na Mkuu wa Mkoa wa Songwe kupambana na udumavu kwa watoto

Imewekwa: November 20th, 2021

Wakati Mkoa wa Songwe ukiendelea na kampeni ya kutokomeza udumavu kwa watoto jumla ya watoa huduma 38 kutoka maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Ileje wanapatiwa elimu ya kukabiliana na tatizo hilo.

Mafunzo hayo ya siku mbili yamefanyika katika Kituo cha Kuendeleleza Walimu cha Itumba yameendeshwa na Shirika la MIICO kwa kushirikiana na shirika la PIKOLTO.

Bi.Anna Minja Afisa Lishe wa Shirika hilo kwa mikoa ya Songwe na Mbeya amesema kuwa walengwa wanaopata mafunzo hayo ni Maafisa Kilimo wa Kata pamoja na watoa huduma wa Afya Vijijini.

Ameongeza kuwa lengo kuu la mafunzo hayo ni kuwawezesha wananchi katika maeneo yao kuweza kuzalisha kwa urahisi mazao ya mbogamboga na matunda na kujua jinsi ya kuyatumia

Afisa huyo ameongeza kuwa watoa huduma hao wanatarajiwa kwenda kuiwezesha jamii kuzalisha mazao ya bustani kwa kutumia mbolea za asali pamoja na dawa za kuua wadudu badala ya kutegemea mbolea za viwandani pamoja na madawa ambayo kwa ujumla huwa na madhara kwa watumiaji.

Bi.Joyce Kayinga kuoka Kijiji cha Shinji ameeleza kufurahishwa na mafunzo hayo huku akitoa wito kwa wananchi kuwa na mwitikio wa kulima bustani pamoja na kutoa lishe bora kwa watoto.

Akizungumzia mafunzo hayo Afisa Kilimo anayeshughulikia mazao ya mbogamboga na Matunda katika Wilaya hiyo Ndg.Alkaid Mzava amesema kuwa Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika inaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali katika kuhakikisha kuwa Wilaya ya Ileje na Mkoa wa Songwe elimu ya lishe bora kwa jamii inaleta mabadiliko chanya kwa jamii.

Hayo yakijili Wilayani Ileje Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe.Omary Mgumba hivi karibuni aliwataka wananchi kuondokana na kasumba ya ulaji wa chakula cha aina moja hali itakayosaidia watoto kuondokana na udumavu.

Matangazo

  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA TAREHE 1 MEI HADI 7 MEI 2025 April 28, 2025
  • TANGAZO LA KUFANYA USAFI SIKU YA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR April 25, 2025
  • Tembelea Zote

Mpya

  • Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mkoani Songwe

    May 01, 2025
  • Bi. Kindamba: Weledi na Uaminifu ni Nguzo Kuu Katika Uandikishaji

    April 29, 2025
  • DC Farida Mgomi Awaasa Wananchi wa Ileje Kulinda Amani na Kuwakemea Wavunjifu wa Amani

    April 26, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA ILEJE AONGOZA USAFI ISONGOLE, AWASISITIZA WANANCHI KUJITOKEZA KWENYE UCHAGUZI 2025

    April 26, 2025
  • Tembelea Zote

Video

DD
Video Zaidi

Tovuti Mashuhuri

  • UTUMISHI WA UMMA
  • OR - TAMISEMI
  • Songwe Region
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL FACEBOOK
  • TAUSI PORTAL

Kurasa za Karibu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa