Imewekwa: February 23rd, 2023
Maafisa Watendaji wa Kata waliogawiwa pikipiki wilayani Ileje wametakiwa kuzitumia kwa manufaa ya umma badala ya shughuli zao binafsi.
Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe.Farida Mgomi kat...
Imewekwa: February 19th, 2023
Wakazi wa Wilaya ya Ileje mkoani Songwe wametakiwa kushikamana katika suala la malezi ya watoto ikiwemo kuwaepushia mazingira hatarishi.
Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama ya Wil...
Imewekwa: February 7th, 2023
Imeelezwa kuwa moja ya njia za kupunguza kero kwa wananchi ni kwa viongozi wa ngazi mbalimbali mkoani Songwe kufuatilia juu ya kufanyika kwa mikutano ya kesheria katika ngazi mbalimbali kuanzia vitong...