• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Matangazo |
Ileje District Council
Ileje District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Mipango, Tathimini na Takwimu
      • Elimu Sekondari
      • TASAF
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Fedha
      • Utamaduni na Michezo
      • Mawasiliano ya Serikali
      • Usimamizi wa Taka Ngumu na Usafi wa mazingira
    • Kata
      • Isongole
      • Itumba
      • Bupigu
      • Mbebe
      • Chitete
      • Malangali
      • Ikinga
      • Kafule
      • Kalembo
      • Lubanda
      • Luswisi
      • Ibaba
      • Itale
      • Ndola
      • Ngulilo
      • Mlale
      • Ngulugulu
      • Sange
    • Taasisi za Serikali
    • Mashirika ya Umma
    • Ofisi ya Mkuu Wa Wilaya
    • Ofisi ya Mbunge
    • Vyama vya Siasa
    • Viongozi wa Dini na Mila
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utaliii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fedha
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha
    • Ratiba ya Vikao
    • Kuonana na Mh. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyothibitishwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Habari za mkoa
    • Habari za kitaifa
    • Habari za kimataifa

ASANTENI MADAKITARI BINGWA KWA HUDUMA

Imewekwa: October 7th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmshauri ya Wilaya ya Ileje, Bi. Nuru Waziri Kindamba, ametoa shukurani na pongezi kwa Timu ya Madakitari Bingwa wa Mheshimiwa 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan, kwa huduma ya Matibabu ya Kibingwa waliyoitoa katika Hospitali ya Wilaya iliyopo Itumba.

Bi, Kindamba ametoa pongezi na shukurani hizo wakati wa hafla fupi ya kuwaaga Madakitari bingwa ambao wamemaliza muda wa kambi katika hospitali ya wilaya, ambapo amewapongeza kwa kuwahudumia vyema wananchi wa wilaya ya Ileje na kuwapa ahueni ya kupona maradhi ambayo yaliwakabili.

Aidha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri amemshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani kwa kuwaleta Madakitari Bingwa hao ambao licha ya kutoa huduma ya matibabu wamebadilishana uzoefu wa kazi na Madakitari waliopo katika hospitali hiyo ya wilaya hali itakayopelekea kuimarika zaidi kwa huduma za afya katika hospitali hiyo.

Aidha kiongozi wa timu hiyo ya Madakitari Bingwa,Dr Peter Saria amemshukuru Mkurugenzi mtendaji  wa  Halmashauri pamoja na Uongozi wa Hospitali ya wilaya kwa ushirikiano, ukarimu, na jitihada walizozionesha wakati walipokuwa wameweka kambi katika hospitali hiyo.

Madakitari Bingwa wa Mheshimiwa Rais ,waliweka kambi ya siku tano katika hospitali ya wilaya iliyopo Itumba ambapo jumla ya Wagonjwa 257 walipata huduma ya matibabu ya kibingwa.

Matangazo

  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA TAREHE 1 MEI HADI 7 MEI 2025 April 28, 2025
  • TANGAZO LA KUFANYA USAFI SIKU YA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR April 25, 2025
  • Tembelea Zote

Mpya

  • Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mkoani Songwe

    May 01, 2025
  • Bi. Kindamba: Weledi na Uaminifu ni Nguzo Kuu Katika Uandikishaji

    April 29, 2025
  • DC Farida Mgomi Awaasa Wananchi wa Ileje Kulinda Amani na Kuwakemea Wavunjifu wa Amani

    April 26, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA ILEJE AONGOZA USAFI ISONGOLE, AWASISITIZA WANANCHI KUJITOKEZA KWENYE UCHAGUZI 2025

    April 26, 2025
  • Tembelea Zote

Video

DD
Video Zaidi

Tovuti Mashuhuri

  • UTUMISHI WA UMMA
  • OR - TAMISEMI
  • Songwe Region
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL FACEBOOK
  • TAUSI PORTAL

Kurasa za Karibu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa