Imewekwa: April 26th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Mheshimiwa Farida Mgomi, amewaasa wananchi wa wilaya ya Ileje kuhakikisha wanaendelea kuimarisha amani na utulivu kwa kuwakemea vikali wachochezi na wavunjifu wa amani, pamoja...
Imewekwa: April 26th, 2025
Katika kuadhimisha Miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Mheshimiwa Farida Mgomi, leo ameongoza wakazi wa Kata ya Isongole katika zoezi la kufanya usafi wa mazingira...
Imewekwa: April 25th, 2025
Katika jitihada za kuendeleza shughuli za Kiuchumi na kulinda Mazingira, Afisa Mazingira wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje,Frank Kisanga kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Il...