Imewekwa: May 19th, 2025
Kamati ya Fedha, Uchumi na Mipango (FUM) ya Halmashauri ya Wilaya ya Ileje imefanya ziara ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa katika wilaya hiyo. Ziara hiyo ililenga kutathmini...
Imewekwa: May 1st, 2025
Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) kwa mwaka 2025 Mkoani Songwe yameadhimishwa katika Wilaya ya Mbozi. Katika maadhimisho hayo, Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Mheshimiwa Farida Mgomi ...
Imewekwa: April 29th, 2025
Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Ileje, Bi. Nuru Waziri Kindamba, amefungua rasmi semina ya Mafunzo kwa Waandishi Wasaidizi na waendesha Vifaa vya Bayometriki (BVR) kwa ajili ya uboreshaji wa Daftari l...