• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Matangazo |
Ileje District Council
Ileje District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Mipango, Tathimini na Takwimu
      • Elimu Sekondari
      • TASAF
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Fedha
      • Utamaduni na Michezo
      • Mawasiliano ya Serikali
      • Usimamizi wa Taka Ngumu na Usafi wa mazingira
    • Kata
      • Isongole
      • Itumba
      • Bupigu
      • Mbebe
      • Chitete
      • Malangali
      • Ikinga
      • Kafule
      • Kalembo
      • Lubanda
      • Luswisi
      • Ibaba
      • Itale
      • Ndola
      • Ngulilo
      • Mlale
      • Ngulugulu
      • Sange
    • Taasisi za Serikali
    • Mashirika ya Umma
    • Ofisi ya Mkuu Wa Wilaya
    • Ofisi ya Mbunge
    • Vyama vya Siasa
    • Viongozi wa Dini na Mila
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utaliii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fedha
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha
    • Ratiba ya Vikao
    • Kuonana na Mh. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyothibitishwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Habari za mkoa
    • Habari za kitaifa
    • Habari za kimataifa

MKURUGENZI ILEJE AONGOZA HAFLA YA KUWAAGA MADAKTARI BINGWA WA MAMA SAMIA

Imewekwa: May 31st, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje, Bi Nuru Waziri Kindamba, ameongoza hafla ya kuwaaga madaktari bingwa wa Mama Samia waliokuwa katika kambi maalum ya matibabu ya kibingwa katika Hospitali ya Wilaya ya Ileje. Hafla hiyo ilifanyika kwa ajili ya kuwashukuru madaktari hao kwa mchango wao mkubwa katika kutoa huduma bora kwa wananchi wa Ileje. Bi Kindamba alieleza kuwa kambi hiyo imeleta unafuu mkubwa kwa wananchi waliokuwa wakihitaji huduma za kibingwa. Pia alitumia fursa hiyo kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kuboresha sekta ya afya nchini.

Aidha, Bi Kindamba aliwataka madaktari bingwa kuendelea kushirikiana na wenzao wa Hospital ya Wilaya ya Ileje ili kuimarisha utoaji wa huduma za afya kwa kubadilishana uzoefu. Alieleza kuwa ushirikiano huo utasaidia kuboresha ujuzi wa wataalamu wa afya  na kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma. Pia alisisitiza umuhimu wa kuwa na mawasiliano ya kudumu kati ya madaktari bingwa na wale wa wilaya. Ushirikiano huo utakuwa chachu ya maendeleo ya huduma bora kwa wananchi.

Katika hatua nyingine, Bi Kindamba aliwasihi Madaktari wa hapa Ileje kutumia vyema elimu na uzoefu walioupata kutoka kwa madaktari Bingwa. Alisema uzoefu huo ni hazina kubwa itakayowasaidia katika kutoa huduma bora na zenye ufanisi zaidi. Aliongeza kuwa serikali itaendelea kuboresha mazingira ya kazi kwa watumishi wa afya. Hafla hiyo ilihitimishwa kwa shukrani na pongezi kwa madaktari Bingwa kwa mchango wao mkubwa kwa jamii ya Ileje.

Matangazo

  • HUDUMA ZA MATIBABU YA KIBINGWA May 26, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA TAREHE 1 MEI HADI 7 MEI 2025 April 28, 2025
  • TANGAZO LA KUFANYA USAFI SIKU YA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR April 25, 2025
  • Tembelea Zote

Mpya

  • MKURUGENZI ILEJE AONGOZA HAFLA YA KUWAAGA MADAKTARI BINGWA WA MAMA SAMIA

    May 31, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA ILEJE AWAPONGEZA WATENDAJI NA MAAFISA LISHE KWA KUPAMBANA NA UDUMAVU

    May 27, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA ILEJE AWAPONGEZA WATENDAJI NA MAAFISA LISHE KWA KUPAMBANA NA UDUMAVU

    May 27, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA ILEJE AWAKARIBISHA MADAKTARI BINGWA

    May 26, 2025
  • Tembelea Zote

Video

DD
Video Zaidi

Tovuti Mashuhuri

  • UTUMISHI WA UMMA
  • OR - TAMISEMI
  • Songwe Region
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL FACEBOOK
  • TAUSI PORTAL

Kurasa za Karibu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa