Imewekwa: December 23rd, 2019
Hatimaye serikali imeondoa kero kubwa ya siku mbili iliyokuwa imekata mawasiliano kati ya Isongole na Itumba Makao Makuu ya Wilaya ya Ileje baada ya daraja linalounganisha vijiji hivyo viwili ku...
Imewekwa: December 17th, 2019
Serikali imeridhishwa na kasi na ubora wa majengo ya Hospitali ya Wilaya ya Ileje na ikiahidi kumwaga milioni 500 zingine kwajili kuendeleza ujenzi huo.
Akizungumza kwenye eneo la mradi na baadaye ...
Imewekwa: December 17th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Ileje ahamishia kwa muda ofisi yake kijijini lengo likiwa kuokoa wanafunzi watakaoanza Kidato cha Kwanza hapo mwakani.
Zoezi hilo lililochukua takribani masaa manne lilifanyika ka...