• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Matangazo |
Ileje District Council
Ileje District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Mipango, Tathimini na Takwimu
      • Elimu Sekondari
      • TASAF
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Fedha
      • Utamaduni na Michezo
      • Mawasiliano ya Serikali
      • Usimamizi wa Taka Ngumu na Usafi wa mazingira
    • Kata
      • Isongole
      • Itumba
      • Bupigu
      • Mbebe
      • Chitete
      • Malangali
      • Ikinga
      • Kafule
      • Kalembo
      • Lubanda
      • Luswisi
      • Ibaba
      • Itale
      • Ndola
      • Ngulilo
      • Mlale
      • Ngulugulu
      • Sange
    • Taasisi za Serikali
    • Mashirika ya Umma
    • Ofisi ya Mkuu Wa Wilaya
    • Ofisi ya Mbunge
    • Vyama vya Siasa
    • Viongozi wa Dini na Mila
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utaliii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fedha
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha
    • Ratiba ya Vikao
    • Kuonana na Mh. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyothibitishwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Habari za mkoa
    • Habari za kitaifa
    • Habari za kimataifa

Ileje yajipnga kujikwamua kitaaluma,yaahidi kurudisha hadhi yake

Imewekwa: December 28th, 2021

Wakati serikali ikiendelea kumwaga mabilioni ya fedha kwaajili ya uboreshaji wa miundombinu ya elimu Wilaya ya Ileje mkoani Songwe imechukua hatua kuhakikisha kuwa inarejesha hadhi yake ya Elimu ya Msingi.

Katika kufanikisha zoezi hilo  vikao vya kuwekeana mikakati ili kufikia malengo vimeanza leo Jumanne28/12/2021 katika Ukumbi wa Hotel ya VIM iliyopo Itumba Makao Makuu ya Wilaya hiyo vikitarajiwa kuendelea hapo kesho Jumatano 29/12/2021.

Akifungua kikao cha leo kilichohusisha Ofisi ya Elimu Msingi Wilaya pamoja na Maafisa Elimu Kata Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Ndg.Geofrey Nnauye amewataka watalaam hao kutumia taaluma hiyo kuhakikisha wanawatendea haki wanaileje kwa kuleta mabadiliko makubwa katika matokeo mbalimbali ya mitihani.

Ameongeza kuwa kufanya kazi kwa kusubiri kusimamiwa badala ya kufuata miongozo ya taaluma na serikali,kunachangia matokeo mabaya ya elimu msingi mwaka hadi mwaka hali inayosababisha wilaya hiyo kusomeka vibaya kwa watanzania.

Nnauye amesema kuwa mshikamano,ubunifu na kujituma havina budi kuchukua nafasi ili kuleta matokeo mazuri ambayo yataleta heshima pia kwa wanataaluma hao.

Naye Afisa Elimu Msingi Mwalimu Fikiri Mguye amesema kuwa amedhamiria kwa dhati kuhakikisha kuwa wilaya hiyo inakuwa miongoni mwa wilaya zinazofanya vizuri kitaaluma akitumia mbinu shirikishi katika kupanga na kutekeleza mikakati  hiyo.

Amesema kuwa wadau mbalimbali kutoka ngazi za chini hadi juu kiwilaya hawana budi kushirikishwa kupanga na kutekeleza mipango ya uboreshaji elimu ambayo kwa kufanya hivyo ni utekelezaji wa Utawala Bora hapa nchini.

Kwa upande wao Maafisa Elimu Kata hao wameushukuru uongozi wa Wilaya  kwa mambo mazuri ya kuwathaminiwa yaliyooneshwa na uongozi wa wilaya kwa muda mfupi.

Phares Kibona Mwenyekiti wa Maafisa hao alishukuru Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe.Anna Gidarya,Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo,Idara ya Elimu Msingi na Sekondari kwa ushiriki wao wakati wa msiba wa mtoto wa mwalimu aliyekuwa amepoteza uhai kwa kugongwa na gari akiwa amepakiwa kwenye pikipiki na baba yake mzazi ambaye ni mwalimu na alipata majeraha.

Pongezi za pili zilikuwa ni namna walivyokuwa wamethaminiwa katika kikao hicho kwa kukifanyia katika ukumbi wenye hadhi tofauti na vikao vilivyowahi kupita.

Kikao hicho kilichoanza jioni kutokana na sababu zisizozuilika  kilikuwa kikiendelea tulipokuwa tukiingia mitamboni na hapo kesho kikao kama hicho kitafanyika kikihusisha Maafisa hao pamoja na Walimu Wakuu.

Kwa miaka kadha Wilaya ya Ileje imeendelea kufanya vibaya kwenye mitihani mbalimbali ya kitaifa hali iliyoendelea kupigiwa kelele na wadau mbalimbali wakiwemo wasomi waliosoma Ileje miaka ya nyuma wilaya hiyo ilipokuwa ikifanya vema.

Hayo yakijili,Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe.Omary Mgumba hapo jana aliwataka viongozi wa mkoa huo na wananchi kwa ujumla kuhakikisha kuwa watoto wote walioandikishwa kuanza Darasa la Kwanza hapo mwakani wanafanya hivyo pia kwa wale waliochaguliwa kuanza Kidato Cha Kwanza.

Matangazo

  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA TAREHE 1 MEI HADI 7 MEI 2025 April 28, 2025
  • TANGAZO LA KUFANYA USAFI SIKU YA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR April 25, 2025
  • Tembelea Zote

Mpya

  • Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mkoani Songwe

    May 01, 2025
  • Bi. Kindamba: Weledi na Uaminifu ni Nguzo Kuu Katika Uandikishaji

    April 29, 2025
  • DC Farida Mgomi Awaasa Wananchi wa Ileje Kulinda Amani na Kuwakemea Wavunjifu wa Amani

    April 26, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA ILEJE AONGOZA USAFI ISONGOLE, AWASISITIZA WANANCHI KUJITOKEZA KWENYE UCHAGUZI 2025

    April 26, 2025
  • Tembelea Zote

Video

DD
Video Zaidi

Tovuti Mashuhuri

  • UTUMISHI WA UMMA
  • OR - TAMISEMI
  • Songwe Region
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL FACEBOOK
  • TAUSI PORTAL

Kurasa za Karibu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa