• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Matangazo |
Ileje District Council
Ileje District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Seconadary Education
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Tathmini
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Taaluma ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utaliii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fedha
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha
    • Ratiba ya Vikao
    • Kuonana na Mh. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyothibitishwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari

Utaratibu wa ujazaji wa Fomu za Bima ya Afya (NHIF).

Utaratibu wa ujazaji wa Fomu za Bima ya Afya (NHIF)

Idadi ya watu wanaotakiwa kujazwa kwenye fomu ya bima ya afya ni 16 kwa mtiririko ufuatao;

Mchangiaji mwenyewe na mwenza wake(mke au mme)

Faili ya watoto wasiozidi 4 chini ya miaka 18,au wazazi/wakwe katika idadi hiyo ya watu wane(40 maana unaweza ukawajaza watoto wawili(2) na wazazi (2).


1. VIAMBATANISHO

Mchangiaji:

1.Hati ya kupokelea mshahara(salary slip) yenye makato ya bima ya afya.

2.Picha zenye ukubwa wa pasipoti(passport size) moja ya hivi karibuni.


Mwenza(Mke au mme)

1.Nakala ya  cheti cha ndoa (copy)

2.Picha zenye ukubwa wa pasipoti(passport size) moja ya hivi karibuni.


Watoto:

1.Nakala ya Vyeti vya kuzaliwa(copy).

2. Picha zenye ukubwa wa pasipoti(passport size) moja ya hivi karibuni.


Wazazi:

       1.Cheti cha kuzaliwa cha mchangiaji (mtumishi).

       2 Picha zenye ukubwa wa pasipoti(passport size) moja  ya hivi karibuni

Wakwe:

  1. Cheti cha ndoa
  2.  Picha zenye ukubwa wa pasipoti(passport size) moja ya hivi karibuni

•Kuongeza mtegemezi:

Viambatanisho ni vilevile saraly slip,picha pasporti size na nakala ya cheti cha kuzaliwa.

Utalipia benki Tzsh 20,000/=kwa kila kadi iliyopotea kwa akaunti namba 61010016954 yenye jina Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.

Baada ya hapo utamwona Mratibu ukiwa na loss Report ya polisi,pay slip ya benki uliyolipia na picha passport size ili ujaze fomu nyingine uweze kupata kadi nyingine.


Kwa wastaafu:

Viambatanisho

1.Nakala ya kibali cha kustaafu

2.Unarudisha kodi ulizopewa pamoja na wategemezi wako.

3.Picha yako passport size pamoja na ya mwenza wako ya hivi karibuni ili uandaliwe kadi nyingine.

4.Kama kuna kadi zimepotea kati ya kadi sita(6) ulizopewa,utaripoti kwa mratibu wa Bima ya Afya au Afisa Utumishi ili uandikiwe barua ya kwenda nayo polisi.


DAVID A.MWAMPASHI (0757388770/07877017462)

MRATIBU WA BIMA YA AFYA(W) ILEJE


Matangazo

  • MAJINA YA WAKUSANYA TAARIFA ANWANI ZA MAKAZI ILEJE March 04, 2022
  • Tangazo la ajira Ileje DC May 24, 2022
  • Tembelea Zote

Mpya

  • VIJANA ILEJE WAKOPESHWA TZSH.MILIONI 100,200,000 SIKU YA MAMA SAMIA

    March 19, 2022
  • TZSH.BILIONI 1.9 KUTOLEWA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WALEMAVU MKOANI SONGWE

    March 10, 2022
  • KASEKENYA AANZA ZIARA YA SIKU MBILI JIMBONI KWAKE ILEJE

    March 04, 2022
  • Serikali yatoa zaidi ya Milioni 400 upimaji viwanja 1800 kwa Wilaya ya Ileje

    February 01, 2022
  • Tembelea Zote

Video

VIVUTIO VYA UTALII HALMASHAURI YA WILAYA YA ILEJE
Video Zaidi

Tovuti Mashuhuri

  • UTUMISHI WA UMMA
  • OR - TAMISEMI
  • Songwe Region
  • Matokeo ya kidato cha nne 2017
  • ILEJE SECONDARY SCHOOL
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL FACEBOOK
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL /YOUTUBE

Kurasa za Karibu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa