Utaratibu wa kutoa Shahada ya Safari ya Dharura.
Muombaji aliye chini ya miaka 35(1980+).
Muombaji wa Hati ya Dharura (ETD)aliye chini ya umri wa miaka 35 anatakiwa alete hati zifuatazo
Waombaji wa Shughuli binafsi;
1.Cheti cha Kuzaliwa.
2.Cheti cha Kumalizia Shule.
3.Ubatizo.
4.Leseni za udereva.
5.Hati ya Biashara.
6.Barua ya mwajiri kwa walioajiriwa na kitambulisho cha kazi.
7.Barua ya Mwenyekiti wa Mtaa kwa utambulisho wa makazi.
8.Kadi ya Kura.
9.Kitambulisho cha Taifa.
10.Kitambulisho cha ukaazi.
Waombaji kwaajili ya Matembezi;
1.Cheti cha Kuzaliwa.
2.Cheti cha Kumalizia Shule.
3.Ubatizo.
4.Leseni za udereva.
5.Hati ya Biashara.
6.Barua ya mwajiri kwa walioajiriwa na kitambulisho cha kazi.
7.Barua ya Mwenyekiti wa Mtaa kwa utambulisho wa makazi.
8.Kadi ya Kura.
9.Kitambulisho cha Taifa.
10.Kitambulisho cha ukaazi.
Waombaji kwaajili Wanafunzi;
1.Cheti cha Kuzaliwa.
2.Barua ya shule au chuo na kitambulisho cha mwanafunzi.
3.Barua ya udahili(wito)
4.Kitambulisho cha Taifa.
Kwa waombaji walio chini ya miaka 18 watatakiwa kuleta barua ya idhini ya mzazi au mlezi halali pia barua ieleze madhumuni ya safari na namba ya simu ya mzazi au mlezi.
Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa