Jinsi ya kupata Cheti cha Kuzaliwa
Ili kupata Chet cha Kuzaliwa unatakiwa uwe na vitu vifuatavyo;
-Barua ya utambulisho yatoka kwa Afisa Mtendaji wa Kata au Kijiji au
-Kadi ya Kliniki au
-Cheti cha Ubatizo au
-Cheti cha Kumaliza Elimu ya Msingi au sekondari(leaving certificate)
-Hati nyingine zinazozibitisha tarehe,mwezi na mwaka alipozaliwa mtoto na mahali alipozaliwa na
-Picha moja ya pasipoti(passport size)
Unapohitaji cheti hiki fika Ofisi za Halmashauri uliza Ofisi ya Vizazi na Vifo nawe ukiwa umekidhi vigezo utahudumiwa.
Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa