Thursday 31st, July 2025
@ITARE - SHULE YA SEKONDARI ITARE
Katika maadhimisho haya kutakuwepo na:
Burudani mbalimbali za watoto
Ngoma za asili
Maonesho ya kazi za watoto, vipaji, sanaa na ujuzi wa kisayansi
Shughuli za huruma kwa watoto wenye mahitaji maalum
Kaulimbiu ya mwaka 2025 ni:
"Haki za Mtoto: Tulipotoka, Tulipo, na Tuendako."
Mgeni rasmi atakuwa Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Mheshimiwa Farida Mgomi.
Shughuli zitaanza rasmi saa 3:00 asubuhi.
Wananchi wote mnaombwa kujitokeza kwa wingi kusherehekea, kujifunza, na kushuhudia ubunifu na vipaji vya watoto wetu huku tukiburudika pamoja kwa amani na mshikamano.
Karibuni sana.
Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa