Sunday 1st, June 2025
@ISONGOLE
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ileje inapenda kuwataarifu na kuwaalika wananchi wote wa wilaya ya Ileje kushiriki katika Tamasha la Kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka minne ya uongozi na utekelezaji wa Miradi ya maendeleo katoika Wilaya ya Ileje. Tamasha hilo litafanyika katika Uwanja wa Mwenge uliopo Kata ya Isongole kuanzia saa 12 asubuh siku ya tarehe 17/5/2025.
Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa