• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Matangazo |
Ileje District Council
Ileje District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Seconadary Education
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Tathmini
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Taaluma ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utaliii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fedha
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha
    • Ratiba ya Vikao
    • Kuonana na Mh. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyothibitishwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari

Zoezi la uhakikina uhuishaji taarifa za wanakaya Ileje waendelea

Imewekwa: July 6th, 2020

Ileje yaendelea na zoezi la uhakiki wa uhuishaji taarifa za wanakaya ambao ni wanufaika wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF huku wawezeshaji wakitakiwa kufanya kazi kwa weredi.

Zoezi hilo la siku tatu lilianza hapo Jumatatu linatarajiwa kukamilika hapo Jumatano  linatarajiwa kuvifikia vijiji 50 katika Wilaya ya Ileje linahusu uhakiki wa kundi hilo kwa njia ya kielekroniki (yaani mfumo) likiwa limetanguliwa na mafunzo ya siku mbili  kwa wataalam wa Halmashauri kutoka.

Akizungumza hapo awali wakati wa kufugua mafunzo Mkuu wa Wilaya Ndugu Joseph Mkude alisema kuwa uhakiki huo hauna budi kuleta takwimu sahihi zitakazoepusha wanufaika hewa kama ilivyokuwa imetokea pale awali.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje Ndg.Haji Mnasi alisema kuwa watalaam watakaokwamisha zoezi hawatavumiliwa na hatua za kiutumishi zitachukuliwa dhidi zao.

Kwa siku ya kwanza vijiji vya Tarafa ya Bulambya ndivyo viliweza kuhakikiwa huku siku ya pili ikihusisha vijiji vingi vya Bundali.

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF unatekeleza Mpango Kunusuru Kaya Maskini kwa lengo la kuwezesha Kaya Maskini kuongeza kipato,fursa na uwezo wa kugharimia mahitaji muhimu ukiwa unatekelezwa katika Mitaa na Vijiji vyote vya Tanzania Bara na Shehia zote za Unguja na Pemba kwa Zanzibar.

 

Matangazo

  • MALIPO YA WALIMU TAYARI,ORODHA HII HAPA January 08, 2021
  • MAJINA YA WATAKAOHUDHURIA SEMINA YA USIMAMIZI WA UCHAGUZI MKUU JIMBO LA ILEJE 2020 HAYA HAPA October 21, 2020
  • Vituo vya semina kwa makarani Uchaguzi Mkuu Jimbo la Ileje October 23, 2020
  • Vituo vya semina kwa Wasimamizi wa Vituo na Wasimamizi wasaidizi,(hawa ndo wanaotakiwa huhudhuria) October 23, 2020
  • Tembelea Zote

Mpya

  • DC wa Ileje asamehe wezi wa miche ya miti,asema somo limeeleweka

    January 24, 2021
  • "Msizuie usajili wanafunzi wa Kidato cha Kwanza kwa kukosa sare" DC Ileje

    January 07, 2021
  • DED ILEJE ARIDHISHWA NA UJENZI WA JENGO LA WAGONJWA WA NJE "OPD"

    December 24, 2020
  • Songwe wajiandaa kutekeleza Ilani ya Uchaguzi

    December 14, 2020
  • Tembelea Zote

Video

Mhe.Rais Magufuli awataka watalaam kutumia taaluma zao hapa nchini ,aruhusu ajira mpya
Video Zaidi

Tovuti Mashuhuri

  • UTUMISHI WA UMMA
  • OR - TAMISEMI
  • Songwe Region
  • Matokeo ya kidato cha nne 2017
  • ILEJE SECONDARY SCHOOL
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL FACEBOOK
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL /YOUTUBE

Kurasa za Karibu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa