• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Matangazo |
Ileje District Council
Ileje District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Mipango, Tathimini na Takwimu
      • Elimu Sekondari
      • TASAF
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Fedha
      • Utamaduni na Michezo
      • Mawasiliano ya Serikali
      • Usimamizi wa Taka Ngumu na Usafi wa mazingira
    • Kata
      • Isongole
      • Itumba
      • Bupigu
      • Mbebe
      • Chitete
      • Malangali
      • Ikinga
      • Kafule
      • Kalembo
      • Lubanda
      • Luswisi
      • Ibaba
      • Itale
      • Ndola
      • Ngulilo
      • Mlale
      • Ngulugulu
      • Sange
    • Taasisi za Serikali
    • Mashirika ya Umma
    • Ofisi ya Mkuu Wa Wilaya
    • Ofisi ya Mbunge
    • Vyama vya Siasa
    • Viongozi wa Dini na Mila
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utaliii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fedha
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha
    • Ratiba ya Vikao
    • Kuonana na Mh. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyothibitishwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Habari za mkoa
    • Habari za kitaifa
    • Habari za kimataifa

Watumishi wa umma Ileje watakiwa kutambua fursa za uwekezaji

Imewekwa: June 1st, 2021

Watumishi wa umma Wilayani Ileje mkoani Songwe wametakiwa kuzigeuza changamoto zilizopo humu kuwa fursa ili kuijenga wilaya hiyo kiuchumi.

Wito huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa huo Ndg.Omary Mgumba akiwa katika ziara yake ziara yake ya kwanza ya kutambua eneo  la utawala tangu kuteuliwa kwake.

 Alisema kuwa Mungu aliwapeleka Ileje kwa makusudi hivyo hawana budi  kuchapa kazi wakigeuza changamoto hizo kuwa fursa badala ya kuwa na fikra za  kuhamia maeneo mengine ambayo fursa nyingi zilishakabwa na wajanja.

Alisema kuwepo kwa mpaka na nchi ya Malawi kwa sehemu kubwa ya wilaya hiyo kunatoa fursa za uwekezaji badala ya kuendelea kulalamika kuwa mazingira ya Wilaya hiyo ni magumu.

Kauli hiyo ilikuja kufuatia taarifa ya Katibu Tawala wa Mkoa huo Dkt.Seif Shekillage anayehama kuwa watumishi wengi wa wilaya hiyo hususani walimu wamekuwa wakihama kwa idadi kubwa ikilinganishwa na Wilaya zingine katika mkoa huo.

Mgumba aliongeza kuwa kukamilika kwa  barabara ya lami kati ya Mpemba na Isongole ni fursa kubwa kwa watumishi na wafanyabiashara wa wilaya hiyo,mkoa na taifa kwa ujumla katika kutekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Pamoja na mambo mengine kiongozi huyo amewataka watumishi wa umma kutokuwa chanzo cha migogoro ya kisiasa baina ya Wahe.Wabunge na wananchi wakisema hawaonekani majimboni wakati wanajua wazi kuwa wapo bungeni kuwawakilisha.

Amesema kuwa uelewa wa wataalam hao unatakiwa kuwa msaada wa kutoa uelewa wa mambo mbalimbali kwa wananchi badala ya kuwa wachochezi.

Ziara hiyo imemwezesha pia kukutana na watumishi wa umma,kutembelea Mradi ya Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya,ujenzi wa maabara katika Shule ya Sekondari Kakoma pamoja na mpaka wa Tanzania na Malawi katika Kijiji cha Isongole ambako ujenzi wa daraja litakalounganisha Tanzania na Malawi unaendelea vema.

Tangu kuanzishwa kwa mkoa huo takribani miaka sita iliyopita Mhe.Mgumba anakuwa Mkuu wa Mkoa huo wa tatu akitanguluwa na Brigedia Jenerali Mstaafu Nicodemas Mwangela pamoja na Mhe.Mstaafu Chiku Galawa.

Matangazo

  • HUDUMA ZA MATIBABU YA KIBINGWA May 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 09, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA TAREHE 1 MEI HADI 7 MEI 2025 April 28, 2025
  • TANGAZO LA KUFANYA USAFI SIKU YA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR April 25, 2025
  • Tembelea Zote

Mpya

  • MKUU WA WILAYA YA ILEJE AWATAKA WAKULIMA WA PARETO KUONGEZA UZALISHAJI

    July 01, 2025
  • Tanzania, Malawi na Zambia Wakutana Ileje Kukabili Magonjwa ya Mlipuko Mipakani

    July 02, 2025
  • UZINDUZI WA UJENZI WA BARABARA ISONGOLE – ISOKO WILAYANI ILEJE

    June 13, 2025
  • Wazazi Watakiwa Kuwalinda Watoto na Kuwezesha Ndoto Zao

    June 13, 2025
  • Tembelea Zote

Video

DD
Video Zaidi

Tovuti Mashuhuri

  • UTUMISHI WA UMMA
  • OR - TAMISEMI
  • Songwe Region
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL FACEBOOK
  • TAUSI PORTAL

Kurasa za Karibu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa