• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Matangazo |
Ileje District Council
Ileje District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Mipango, Tathimini na Takwimu
      • Elimu Sekondari
      • TASAF
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Fedha
      • Utamaduni na Michezo
      • Mawasiliano ya Serikali
      • Usimamizi wa Taka Ngumu na Usafi wa mazingira
    • Kata
      • Isongole
      • Itumba
      • Bupigu
      • Mbebe
      • Chitete
      • Malangali
      • Ikinga
      • Kafule
      • Kalembo
      • Lubanda
      • Luswisi
      • Ibaba
      • Itale
      • Ndola
      • Ngulilo
      • Mlale
      • Ngulugulu
      • Sange
    • Taasisi za Serikali
    • Mashirika ya Umma
    • Ofisi ya Mkuu Wa Wilaya
    • Ofisi ya Mbunge
    • Vyama vya Siasa
    • Viongozi wa Dini na Mila
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utaliii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fedha
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha
    • Ratiba ya Vikao
    • Kuonana na Mh. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyothibitishwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Habari za mkoa
    • Habari za kitaifa
    • Habari za kimataifa

Ileje wakutana kujadili ukomeshaji wa vitendo vya unyanyasaji kwa wanawake na watoto.

Imewekwa: November 27th, 2019

Jumla ya watoto 15 wa Shule za Msingi na Sekondari waliokuwa wameachishwa shule wamerejeshwa shuleni  na kuendelea na masomo tangu mwezi Januari hadi mwezi huu Novemba mwaka huu.

Taarifa  ilitolewa na Afisa Ustawi wa Jamii Bi.Tabitha Swila kwenye kikao cha siku moja cha Kamati ya Kutokomeza vitendo vya Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo kikijumuisha Ofisi ya Mkuu wa Wilaya,Baadhi ya Wataalamu toka Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji pamoja na viongozi wa dini.

Taarifa hiyo iliongeza kuwa pia wilaya hiyo imefanikiwa kuwaondoa watoto watatu chini ya miaka mitano waliokuwa waliokuwa katika mazingira hatarishi na kuwapeleka katika kituo cha kulelea watoto wa aina hiyo kilichopo katika Hospitali ya Misheni ya Mbozi.

Baadhi ya wajumbe wa kikao hicho wamewataka wanaume pia kutokaa kimya pale wanapofanyiwa vitendo vya ukatili na wanawake kwani kwa kufanya hivyo huweza kuhatarisha afya zao ikiwemo kujiondoa uhai kwa kujinyonga.

Aidha wametoa angalizo kwa wanafunzi kujiepusha na mapenzi hali inayochangia kuzalisha watoto wa mitaani hivyo kuongeza vitendo vya unynyasji na ukosaji wa matunzo.

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo Katibu Tawala  Ndugu Matias Mizengo alisema kuwa zaidi ya watoto 220 wamefanyiwa vitendo vya ukatili mkoani Songwe huku zaidi ya watoto 40 wakifanyiwa vitendo hivyo wilayani Ileje.

Akifunga kikao mwenyekiti wa kamati hiyo ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Ndugu Haji Mnasi ameitaka jamii kuungana katika mapambano dhidi ya ukatili wa wanawake na watoto.

Matangazo

  • HUDUMA ZA MATIBABU YA KIBINGWA May 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 09, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA TAREHE 1 MEI HADI 7 MEI 2025 April 28, 2025
  • TANGAZO LA KUFANYA USAFI SIKU YA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR April 25, 2025
  • Tembelea Zote

Mpya

  • MKUU WA WILAYA YA ILEJE AWATAKA WAKULIMA WA PARETO KUONGEZA UZALISHAJI

    July 01, 2025
  • Tanzania, Malawi na Zambia Wakutana Ileje Kukabili Magonjwa ya Mlipuko Mipakani

    July 02, 2025
  • UZINDUZI WA UJENZI WA BARABARA ISONGOLE – ISOKO WILAYANI ILEJE

    June 13, 2025
  • Wazazi Watakiwa Kuwalinda Watoto na Kuwezesha Ndoto Zao

    June 13, 2025
  • Tembelea Zote

Video

DD
Video Zaidi

Tovuti Mashuhuri

  • UTUMISHI WA UMMA
  • OR - TAMISEMI
  • Songwe Region
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL FACEBOOK
  • TAUSI PORTAL

Kurasa za Karibu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa