• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Matangazo |
Ileje District Council
Ileje District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Division
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Community Development
      • Industry, Trade and Investment
      • Health social welfare and nutrition service
      • Elimu Msingi
      • Planning and Coordination
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
      • Taaluma ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Finance and accounts
      • Sports, Culture and arts
      • Government communication
    • Wards
      • Isongole
      • Itumba
      • Bupigu
      • Mbebe
      • Chitete
      • Malangali
      • Ikinga
      • Kafule
      • Kalembo
      • Lubanda
      • Luswisi
      • Ibaba
      • Itale
      • Ndola
      • Ngulilo
      • Mlale
      • Ngulugulu
      • Sange
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utaliii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fedha
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha
    • Ratiba ya Vikao
    • Kuonana na Mh. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyothibitishwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari

RC wa Songwe awataka wananchi wa mpakani kuishi kwa amani na nchi jirani

Imewekwa: May 3rd, 2019

   Na:Daniel Mwambene, Ileje DC                      

RC wa Songwe ametaka wakazi wa mpakani kuishi kwa amani na nchi jirani na kutatua matatizo yanayojitokeza kwa njia ya mazungumzo.

Zikiwa ni siku chache zimepita tangu Mhe.Rais Magufuli alipotembelee nchi ya Malawi Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brigedia Mstaafu Nicodemas Mwangela amewataka wakazi wa mkoa huo kulinda na kudumisha amani na nchi jirani.

Alitoa kauli hiyo alipokuwa kizungumza wilayani Ileje na Wahe.madiwani pamoja na watendaji wa serikali kwenye ukumbi wa Hospitali ya wilaya hiyo kufuatia taarifa ya kuhamahama kwa Mto Songwe ambao ni mpaka wa Tanzania na Malawi katika Kata ya Chitete.

Kiongozi huyo ambaye ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa huo akifafanua baada ya Mhe.Diwani wa Chitete Joseph Kayuni kutoa taarifa ya kuhama kwa  mto huo alisema wananchi wa maeneo ya mpakani hawana budi kuvumiliana katika kipindi kama hicho.

‘’Hakikisheni mnamaliza matatizo haya kwa kukaa mezani kwani sisi sote ni ndugu hili liko wazi  kwa mipaka mingi halikwepeki iwe Kenya na Uganda au mataifa yoyote ile watu wa pande mbili za mataifa huwa na mahusiano makubwa ya kihistoria’’.alisisitiza kiongozi huyo.

RC Mwangela alitumia nafasi hiyo kumwagiza Mkuu wa Wilaya ya Ileje Ndugu Joseph Mkude kuhakikisha anakutanana na Mkuu wa Wilaya ya Chitipa Malawi kuhakikisha wanakaa pamoja kushughulikia tatizo hilo.

Sehemu kubwa ya mpaka kati ya Tanzania na Malawi ni Mto Songwe ambao umekuwa ukihamahama mara kwa mara na kupelekea mataifa haya mawili kuwa na mradi wa pamoja wa Bonde la Mto Songwe ambao ulizinduliwa hivi karibuni wilayani Kyela nchini Tanzania.

Wakati maagizo hayo yakitolewa na Mkuu  wa Mkoa wa Songwe,tayari Wilaya ya Ileje imekuwa ikifanya vikao vya kidiplomasia na Wilaya ya Chitipa-Malawi vikilenga kuufanya mpaka huo kuwa makazi salama kwa wananchi wa pande zote.

Matangazo

  • WALIOCHAGULIWA KUHUDHURIA MAFUNZO YA AJIRA ZA MUDA SENSA YA WATU NA MAKAZI ILEJE- DC 2022 July 27, 2022
  • BEI ZA VIWANJA VYA MPAKANI ISONGOLE- ILEJE HIZI HAPA August 03, 2022
  • Tembelea Zote

Mpya

  • Ileje wapata Makamu Mwenyekiti mpya

    August 06, 2022
  • WALIOZUIA MSAFARA WA RC SONGWE WAIPONGEZA SERIKALI

    August 03, 2022
  • VIJANA ILEJE WAKOPESHWA TZSH.MILIONI 100,200,000 SIKU YA MAMA SAMIA

    March 19, 2022
  • TZSH.BILIONI 1.9 KUTOLEWA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WALEMAVU MKOANI SONGWE

    March 10, 2022
  • Tembelea Zote

Video

VIVUTIO VYA UTALII HALMASHAURI YA WILAYA YA ILEJE
Video Zaidi

Tovuti Mashuhuri

  • UTUMISHI WA UMMA
  • OR - TAMISEMI
  • Songwe Region
  • Matokeo ya kidato cha nne 2017
  • ILEJE SECONDARY SCHOOL
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL FACEBOOK
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL /YOUTUBE

Kurasa za Karibu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa