• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Matangazo |
Ileje District Council
Ileje District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Mipango, Tathimini na Takwimu
      • Elimu Sekondari
      • TASAF
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Fedha
      • Utamaduni na Michezo
      • Mawasiliano ya Serikali
      • Usimamizi wa Taka Ngumu na Usafi wa mazingira
    • Kata
      • Isongole
      • Itumba
      • Bupigu
      • Mbebe
      • Chitete
      • Malangali
      • Ikinga
      • Kafule
      • Kalembo
      • Lubanda
      • Luswisi
      • Ibaba
      • Itale
      • Ndola
      • Ngulilo
      • Mlale
      • Ngulugulu
      • Sange
    • Taasisi za Serikali
    • Mashirika ya Umma
    • Ofisi ya Mkuu Wa Wilaya
    • Ofisi ya Mbunge
    • Vyama vya Siasa
    • Viongozi wa Dini na Mila
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utaliii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fedha
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha
    • Ratiba ya Vikao
    • Kuonana na Mh. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyothibitishwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Habari za mkoa
    • Habari za kitaifa
    • Habari za kimataifa

DC Farida Mgomi Awataka Wananchi na Maafisa Mazingira Kutunza Mazingira

Imewekwa: June 5th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Mheshimiwa Farida Mgomi, ametoa wito kwa wananchi wa Kijiji cha Msia, Kata ya Chitete, kuwa na utamaduni wa kutunza mazingira kwa kufanya usafi wa maeneo yao na kulinda vyanzo vya maji. Amesema utunzaji wa mazingira ni jukumu la kila mmoja na unapaswa kuzingatiwa kwa ajili ya ustawi wa jamii na kizazi kijacho.

Akizungumza wakati wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Mazingira, DC Mgomi alieleza kuwa kaulimbiu ya mwaka huu isemayo “Mazingira Yetu na Tanzania Ijayo, Tuwajibike Sasa – Dhibiti Matumizi ya Plastiki” inapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa. Alisisitiza kuwa matumizi ya plastiki yasiyo na udhibiti yana madhara makubwa kwa mazingira na afya ya binadamu.

Aidha, aliwataka Maafisa Mazingira katika wilaya hiyo kuhakikisha wanakuwa na mipango kazi inayotekelezeka pamoja na mikakati ya kudumu ya kusimamia na kuzuia uharibifu wa mazingira. Alisema wasimamizi wa mazingira wanapaswa kuwa mstari wa mbele katika kutoa elimu, ufuatiliaji na kuhakikisha sheria za mazingira zinatekelezwa ipasavyo.

Maadhimisho hayo yalipambwa na burudani mbalimbali zikiwemo ngoma za asili, huku wananchi wakishiriki kwa wingi katika shughuli za usafi na utoaji wa elimu ya mazingira. DC Mgomi alitoa pongezi kwa wananchi waliojitokeza na kuahidi kuendelea kushirikiana nao katika kuimarisha uhifadhi wa mazingira wilayani Ileje.

Matangazo

  • HUDUMA ZA MATIBABU YA KIBINGWA May 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 09, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA TAREHE 1 MEI HADI 7 MEI 2025 April 28, 2025
  • TANGAZO LA KUFANYA USAFI SIKU YA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR April 25, 2025
  • Tembelea Zote

Mpya

  • Mkuu wa Mkoa wa Songwe Ampongeza Afisa wa Maendeleo kwa Ukusanyaji Bora wa Marejesho ya Mikopo

    June 10, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Songwe Aipongeza Halmashauri ya Ileje kwa Kupata Hati Safi

    June 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

    June 09, 2025
  • Katibu Tawala wa Wilaya ya Ileje Awapongeza Wauguzi

    June 06, 2025
  • Tembelea Zote

Video

DD
Video Zaidi

Tovuti Mashuhuri

  • UTUMISHI WA UMMA
  • OR - TAMISEMI
  • Songwe Region
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL FACEBOOK
  • TAUSI PORTAL

Kurasa za Karibu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa