• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Matangazo |
Ileje District Council
Ileje District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Seconadary Education
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Tathmini
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Taaluma ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utaliii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fedha
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha
    • Ratiba ya Vikao
    • Kuonana na Mh. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyothibitishwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari

Wahitimu wa Vyuo Vikuu watakiwa kuchangamkia nafunzo ya Ufundi Stadi-VETA

Imewekwa: July 3rd, 2020

Prof.Ndalichako azindua Chuo cha VETA Ileje huku wahitmu wa Vyuo Vikuu nchini wakitakiwa kuchangamkia fursa za masomo katika vyuo vya Ufundi Stadi hali itakayowasaidia kujiajiri badala ya kusubiri kuajiriwa serikalini.

Hayo yalisemwa na viongozi wakati wa ufunguzi wa Chuo cha Ufundi Stadi cha Ileje mkoani Songwe kinachotarajiwa kuwa mkombozi kwa vijana wa Wilaya hiyo pamoja na mkoa mzima wa Songwe.

Akizungumza na wananchi chuoni hapo pamoja hotuba yake kurushwa mubashara na Kituo Cha Redio cha Ileje Fm 105.3 Prof.Joyce Ndalichako Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Stadi alisema kuwa Vyuo vya ufundi Stadi vimekuwa msaada kwa serikali kufikia malengo yake ya Tanzania ya Viwanda kupitia watalaam wanaozalishwa vyuoni humo.

Aliongeza kuwa kwa kutambua mchango huo  serikali imewekeza mabilioni ya fedha katika ujenzi wa vyuo pamoja na ununuzi wa vifaa vya kufundishia na kujifunzia huku akitaja ujenzi unaondelea katika maeneo mbalimbali hapa nchini kama vile Nkasi,Muleba,Babati,Kasulu na maeneo mengine ili kuweza kuzifikia wilaya zote.

Palaslas Bujuru Mkurugenzi Mkuu wa VETA hapa nchini akizungumza katika mkutano huo alisema kuwa udahili kwajajili ya wananchuo hao si wa kibaguzi kwakuwa unachukua watu wote kuanzia Darasa la Saba hadi Chuo Kikuu akitoa wito kwa wahitimu wa Vyuo Vikuu kutumia fursa hiyo badala ya kusubiri kuajilriwa hali aliyosema imekuwa ikichelewesha maendeleo yao.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali Mstaafu Nicodemas Mwangela aliwaomba wakazi wa Mkoa wa Songwe kuunga juhudi za Mhe.Rais katika mipango yake ya kuisogeza  mbele Tanzania kimaendeleo pamoja na jinsi alivyojenga ushirikiano katika jamii pamoja na nidhamu nzuri katika matumizi ya pesa zinazokusanywa.

Aidha kiongozi huyo alishukuru viongozi wa Wilaya Ileje kwa kuibua wazo hilo na kupongeza serikali ya Japani kwa mchango wao wa milioni 154 zilizoweza kuchangia ujenzi wa majengo mawili ya awali ambayo yameweza kukamilishwa na VETA.

Tafrija hiyo ilihusisha makundi mbalimbali ya wadau wa maendeleo ya wilaya wakiwemo  viongozi wa serikali,dini,mila pamoja na wakazi wa vijiji vya Itumba na Isongole.

Chuo cha Ufundi cha Ileje kinakuwa ni chuo pekee cha VETA ndani ya mkoa wa Songwewenye zaidi w\ya wakazi milioni 1.2 na viongozi wa Wilaya hiyo wamekuwa wakiomba serikali kukipitisha kuwa chuo cha mkoa.

Matangazo

  • MALIPO YA WALIMU TAYARI,ORODHA HII HAPA January 08, 2021
  • MAJINA YA WATAKAOHUDHURIA SEMINA YA USIMAMIZI WA UCHAGUZI MKUU JIMBO LA ILEJE 2020 HAYA HAPA October 21, 2020
  • Vituo vya semina kwa makarani Uchaguzi Mkuu Jimbo la Ileje October 23, 2020
  • Vituo vya semina kwa Wasimamizi wa Vituo na Wasimamizi wasaidizi,(hawa ndo wanaotakiwa huhudhuria) October 23, 2020
  • Tembelea Zote

Mpya

  • DC wa Ileje asamehe wezi wa miche ya miti,asema somo limeeleweka

    January 24, 2021
  • "Msizuie usajili wanafunzi wa Kidato cha Kwanza kwa kukosa sare" DC Ileje

    January 07, 2021
  • DED ILEJE ARIDHISHWA NA UJENZI WA JENGO LA WAGONJWA WA NJE "OPD"

    December 24, 2020
  • Songwe wajiandaa kutekeleza Ilani ya Uchaguzi

    December 14, 2020
  • Tembelea Zote

Video

Mhe.Rais Magufuli awataka watalaam kutumia taaluma zao hapa nchini ,aruhusu ajira mpya
Video Zaidi

Tovuti Mashuhuri

  • UTUMISHI WA UMMA
  • OR - TAMISEMI
  • Songwe Region
  • Matokeo ya kidato cha nne 2017
  • ILEJE SECONDARY SCHOOL
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL FACEBOOK
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL /YOUTUBE

Kurasa za Karibu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa