• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Matangazo |
Ileje District Council
Ileje District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Seconadary Education
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Tathmini
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Taaluma ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utaliii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fedha
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha
    • Ratiba ya Vikao
    • Kuonana na Mh. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyothibitishwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari

"Msizuie usajili wanafunzi wa Kidato cha Kwanza kwa kukosa sare" DC Ileje

Imewekwa: January 7th, 2021

Ileje-Songwe

Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya  Msimu wa Masomo 2021 kuanza Mkuu wa Wilaya ya Ileje Ndg.Joseph Mkude ameagiza wanafunzi wasizuiliwe kusajiliwa na kuanza masomo kwasababu ya kukosa sare.

Akizungumza wakati wa ukaguzi wa maandalizi ya kupokea wanafunzi hao katika Sekondari ya Itumba Mkude amesema kuwa uzoefu unaonesha kuwa wanafunzi wengi huchelewa kusajiliwa na kuanza masomo ya Kidato cha Kwanza pamoja na Darasa la Kwanza katika Wilaya yake kwasababu ya kukosa sare za shule.

Ameongeza kuwa si sare tu zimeonekana kuwa kikwazo bali hata michango mingine ikiwemo ile ya chakula ambayo amesema isiwe chanzo cha kutowasajili watoto hao .

“Watoto wasizuiliwe kusajiliwa kwasababu ya kutokuwa na sare,wasajiliwe kwanza huku wazazi na walezi wakiendelea kuwakamilishia mahitaji yao mengine hii inatusaidia kupata taarifa sahihi za wanafunzi”.

Amesema,kutowasajili wanafunzi mapema hukwamisha upatikanaji wa takwimu sahihi na kwa wakati  kwa manufaa ya wilaya na Taifa kwa ujumla.

Hata hivyo,Mkude amekiri kuwa kutokuwa na sare kutaweza kupunguza mwonekano wa uanafunzi lakini utasaidia kupata takwimu sahihi mapema.

Akizumgumzia maandalizi ya mapokezi ya Kidato cha Kwanza mwaka huu 2021 Ndg.Haji Mnasi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo amesema kuwa maandalizi yanakwenda vema wanatumia muda mrefu katika maeneo ya kazi ili upungufu wa vyumba tisa vya madarasa ukamilishwe kabla ya masomo kuanza.

Jumla ya wanafunzi 1800 wanatarajiwa kuanza kidato cha Kwanza kwenye shule 24 za serikali na 3326 Darasa la Kwanza kwenye Shule zote 83 za Msingi wilayani humo

 Hadi sasa Wialaya ya Ileje ina jumla ya Shule za Sekondari 22 zikiwemo za serikali 19 na 3 za

Matangazo

  • Walimu wafutao wafike Ofisi ya TCS Wilaya March 15, 2021
  • Malipo ya Walimu tayari Orodha hii hapa March 17, 2021
  • Walimu wafuatao wafike Ofisi ya TSC Wilaya March 18, 2021
  • Tembelea Zote

Mpya

  • Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Tanzania

    March 19, 2021
  • Tanzia,Tanzania yapata msiba Rais Magufuli afariki

    March 18, 2021
  • DED wa Ileje apongeza Jeshi la Polisi

    February 19, 2021
  • Wanafunzi Wenye mahitaji maalum wagawiwa vifaa

    February 17, 2021
  • Tembelea Zote

Video

Mhe.Rais Magufuli awataka watalaam kutumia taaluma zao hapa nchini ,aruhusu ajira mpya
Video Zaidi

Tovuti Mashuhuri

  • UTUMISHI WA UMMA
  • OR - TAMISEMI
  • Songwe Region
  • Matokeo ya kidato cha nne 2017
  • ILEJE SECONDARY SCHOOL
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL FACEBOOK
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL /YOUTUBE

Kurasa za Karibu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa