Monday 16th, September 2024
@Ukumbi wa Ofisi za Mkuu wa Wialaya ya Ileje
Mafunzo ya siku moja kwa Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Ileje yamefanyika katika Ukumbi wa Ofisi za Mkuu wa Wilaya lengo likiwa ni kutoa uelewa kwa wajumbe hao kuhusu utendaji jumla wa RUWASA.
Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa