Friday 4th, April 2025
@Kijiji cha Ikumbilo Kata ya Chitete Njiapanda ya kwenda Mlale
Zoezi la uzinduzi wa mradi wa BOOST Wilaya ya Ileje limefanyika leo Jumnne,Mei,2023 katika Kijiji cha Ikumbilo Kata ya Chitete
Uzinduzi huu ni ishara ya kuanza kwa utekelezaji wa miradi ambao kwa sasa hapa wilayani Ileje unahusisha shule nane za msingi
ambazo ni Ikumbilo,Chitete,Ilulu,Chembe,Sange,Mtula Ibaba na Ibezya.
Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa