Thursday 3rd, April 2025
@Wilayani Ileje mkoa wa Songwe
Katika kahakikisha kero za wananchi zinatatuliwa na kupatiwa ufumbuzi kwa wakati Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali Nicodemas Mwangela amekutana na waathirika wa upanuzi wa Barabara ya Mpemba-Isongole na kuwapa majibu kulingana na kero ya kila mmoja huko Wilayani Ileje
Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa