Wednesday 2nd, April 2025
@Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya pamoja na eneo la mradi katika Kijiji cha Kapeta
Kampuni ya ujenzi ya ARI imekabidhiwa ujenzi wa barabara ya km 5 yenye thamani ya Tzsh.5.7 Bilioni kwa kiwango cha changarawe kutoka Landani hadi Kiwanda cha makaa ya mawe.
Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa