Wednesday 2nd, April 2025
@Ukumbi wa Ofisi za Mkuu wa Wilaya zilizopo Itumba Makao Makuu ya Wilaya
Mkuu wa Wilaya ya Busega aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Ileje Mhe.Anna Joram Gidarya amekabidhi ofisi kwa Mkuu mpya wa Wilaya hiyo Mhe.Farida Salum Mgomi.
Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa