Thursday 3rd, April 2025
@Ofisi za Mkuu wa Wilaya katika Kijiji cha Itumba
Nd.Joseph Mkude aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Ileje tangu 2016 sasa amehamia Wilaya ya Kishapu amekabidhi Ofisi kwa DC Anna Gidarya ambaye amechukua nafasi yake hivi karibuni.
Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa