Wednesday 2nd, April 2025
@Viunga vya Shule ya Msingi Chitete
Maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani yalifanyika katika Kijiji cha Chitete yakihusisha zoezi la upandaji miti lililoongozwa na mkuu wa wilaya,ngoma pamoja na hotuba za viongozi wa kata hadi ngazi ya wilaya
Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa