Thursday 3rd, April 2025
@Ukumbi wa Sekondari ya Itumba
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) unaendelea kutekeleza Kipindi cha Pili cha Awamu ya Tatu (PSSN II) katika Mikoa yote yaTanzania Bara pamoja na Unguja na Pemba, Zanzibar.Serikali ina lengo la kufikia Vjijiji na Mitaa katika maeneo yote ya utekelezaji,utaratibu wa kuyafikia maeneo hayo nchi nzima umeandaliwa
Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa