Thursday 3rd, April 2025
@Kihesa Kilolo mkoani Iringa
Wilaya Ileje ni miongoni mwa Halmashauri za Mkoa wa Songwe zinazoshiriki maonesho ya Utalii na Uwekezaji yanayofanyika katika viwanja vya Kihesa Kilolo kwenyea barabara Kuu iendayo Dodoma.
Lengo la mashindano hayo ni kutangaza fursa za sekta hizo zilizopo katika kanda hii.
Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa