Thursday 3rd, April 2025
@Ukumbi wa Radiwelo Itumba Makao Makuu ya wilaya
Kikao cha ujirani mwema kati ya Wilaya ya Ileje-Tanzania na Chitipa- Malawi kilifanyika hapo jana Ijumaa katika Ukumbi wa Radiwelo Mjini Itumba ambayo ni Makao Makuu ya wilaya,mambo
mbalimbali yahusuyo ulinzi na usalama mpakani,masuala ya biashara,kilimo,uhamiaji,elimu,afya,sheria,uhamiaji pamoja na forodha yalijadiliwa yakihusisha watalaam wa pande hizo mbili
Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa