Monday 16th, September 2024
@Mgodi wa makaa ya mawe wa Kabulo.Kiwira na Barabara ya Landani-Kapeta yaani kwenda Kiwira Mgodini
Mkuu wa Wilaya ya Ileje Mhe.Farida Mgomi aliongoza wajumbe wa Kamati ya Usalama ya Wilaya pamoja na Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango kutembelea mradi wa Makaa ya Mawe wa Kiwira na Kabulo
Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa