Thursday 3rd, April 2025
@Ukumbi wa Itumba Sekondari
Kikaomkazi kilichohusisha viongozi wa Wenyeviti wa Vijiji,Watendaji wa Kata na Vijiji,Wakuu wa Idara na Vitengo kilifanyika hapo jana kwa lengo la kupokea kero zinazokwamisha utendaji kazi wao ili kuzitafutia ufumbuzi hatimaye kuwa na sauti moja na wimbo mmoja katika kuwaletea wananchi maendeleo.
Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa