Thursday 3rd, April 2025
@Itumba Makao Makuu ya Wilaya
Mkoa wa Songwe umeendelea kutekeleza mikakati ya kuinua ufaulu kwa Shule za Msingi na Sekondari,huku viongozi wa mkoa na wilaya wakiendelea kutafuta mwarobaini wa kuondokana na tatizo hilo
Hivi karibuni Afisa Elimu wa mkoa huo alifanya kikao kazi na Maafisa Elimu Kata,Wakuu wa Shule na Walimu Wakuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje kujadili namna ya kujikwamua katika matokeo hayo mabaya.
kwa Elimu ya Msingi.
Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa