• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Matangazo |
Ileje District Council
Ileje District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Seconadary Education
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Tathmini
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Taaluma ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utaliii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fedha
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha
    • Ratiba ya Vikao
    • Kuonana na Mh. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyothibitishwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari

Serikali yatoa zaidi ya Milioni 400 upimaji viwanja 1800 kwa Wilaya ya Ileje

Imewekwa: February 1st, 2022

Serikali ya Awamu ya Sita Chini ya Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha Tsh.432,319,000 kwa Wilaya ya Ileje kwaajili ya upimaji viwanja  1800 vya makazi na biashara.

Zoezi la upimaji limeanza leo  Jumanne  01,Februari,2022 katika Kijiji cha Isongole kwenye Kitongoji cha Chumbageni ‘A’ukiwa ni utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM inayolenga katika  uboreshaji wa makazi kwa wananchi wake.

Eneo hilo lipo mpakani kabisa likipitiwa na barabara iendayo nchi jirani ya Malawi kwa upande wa Tanzania ikiwa imejengwa kwa kiwango cha lami

Akizungumza kwenye eneo la kazi,Afisa Ardhi na Maliasili wa Wilaya hiyo Ndg.Dismas Ndinda alisema kuwa  zoezi hilo litakapokamilika jumla ya viwanja 1800 vitakuwa vimepimwa katika eneo hilo pamoja na kwenye Kitongoji cha Ipapa kijijini hapo.

Ndinda ameongeza kuwa kutokana na fedha hizo,kifaa cha kisasa cha upimaji ardhi chenye thamani ya Milioni 37 kimenunuliwa hivyo kasi ya upimaji inatajiwa kuongezeka kwakuwa awali idara hiyo ilikuwa ikitegemea vifaa hivyo toka wilaya za jirani.

Afisa huyo alisema kuwa wanatarajia kuanza kuviuza viwanja hivyo  mnamo mwezi Machi,2022 kwa bei zitakazotolewa hapo baadaye.

Hadi sasa Wilaya hiyo ilishapima  viwanja vya makazi na biashara katika vijiji vya Itumba(ambayo ni Makao Makuu ya Wilaya) pomoja na Isongole (eneo maarufu la biashara)

Matangazo

  • MAJINA YA WAKUSANYA TAARIFA ANWANI ZA MAKAZI ILEJE March 04, 2022
  • Tangazo la ajira Ileje DC May 24, 2022
  • Tembelea Zote

Mpya

  • VIJANA ILEJE WAKOPESHWA TZSH.MILIONI 100,200,000 SIKU YA MAMA SAMIA

    March 19, 2022
  • TZSH.BILIONI 1.9 KUTOLEWA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WALEMAVU MKOANI SONGWE

    March 10, 2022
  • KASEKENYA AANZA ZIARA YA SIKU MBILI JIMBONI KWAKE ILEJE

    March 04, 2022
  • Serikali yatoa zaidi ya Milioni 400 upimaji viwanja 1800 kwa Wilaya ya Ileje

    February 01, 2022
  • Tembelea Zote

Video

VIVUTIO VYA UTALII HALMASHAURI YA WILAYA YA ILEJE
Video Zaidi

Tovuti Mashuhuri

  • UTUMISHI WA UMMA
  • OR - TAMISEMI
  • Songwe Region
  • Matokeo ya kidato cha nne 2017
  • ILEJE SECONDARY SCHOOL
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL FACEBOOK
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL /YOUTUBE

Kurasa za Karibu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa