• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Matangazo |
Ileje District Council
Ileje District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Mipango, Tathimini na Takwimu
      • Elimu Sekondari
      • TASAF
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Fedha
      • Utamaduni na Michezo
      • Mawasiliano ya Serikali
      • Usimamizi wa Taka Ngumu na Usafi wa mazingira
    • Kata
      • Isongole
      • Itumba
      • Bupigu
      • Mbebe
      • Chitete
      • Malangali
      • Ikinga
      • Kafule
      • Kalembo
      • Lubanda
      • Luswisi
      • Ibaba
      • Itale
      • Ndola
      • Ngulilo
      • Mlale
      • Ngulugulu
      • Sange
    • Taasisi za Serikali
    • Mashirika ya Umma
    • Ofisi ya Mkuu Wa Wilaya
    • Ofisi ya Mbunge
    • Vyama vya Siasa
    • Viongozi wa Dini na Mila
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utaliii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fedha
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha
    • Ratiba ya Vikao
    • Kuonana na Mh. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyothibitishwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Habari za mkoa
    • Habari za kitaifa
    • Habari za kimataifa

MKUU WA WILAYA YA ILEJE AWAPONGEZA WATENDAJI NA MAAFISA LISHE KWA KUPAMBANA NA UDUMAVU

Imewekwa: May 27th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Mheshimiwa Farida Mgomi, amewapongeza  Maafisa Watendaji wa Kata na Maafisa Lishe kwa kazi nzuri wanayoifanya katika kuboresha sekta ya lishe wilayan hapa. Pongezi hizo zilitolewa leo tarehe 27 Mei 2025, wakati wa kikao cha tathmini ya mkataba wa lishe kilichofanyika katika ukumbi wa Mkuu wa Wilaya. Mheshimiwa Mgomi alisema kuwa juhudi hizo zimeanza kuonyesha mafanikio katika kupunguza viwango vya udumavu kwa watoto. Alisisitiza kuwa mafanikio hayo yanatokana na juhudi za pamoja kati ya serikali na jamii.

Katika hotuba yake, Mheshimiwa Mgomi amewataka watendaji wa Kata na Maafisa Lishe kuendelea kusimamia kwa karibu utekelezaji wa mikakati ya lishe. Alieleza kuwa lishe bora ni msingi muhimu wa afya ya watoto na maendeleo ya Taifa kwa ujumla. Alihimiza umuhimu wa kufanya kazi kwa bidii, kwa moyo wa kujitolea na  Kujituma. Pia alisisitiza kuwa kila kiongozi anapaswa kuwa mstari wa mbele katika kutoa elimu kwa jamii kuhusu umuhimu wa lishe bora.

                                                 

Aidha Mkuu wa Wilaya ameaiahidi kuendelea kushirikiana na wadau wote ili kuhakikisha mipango ya lishe inatekelezwa kwa ufanisi. Alisema kuwa ofisi yake iko tayari kushirikiana na taasisi mbalimbali ili kuongeza uelewa wa jamii kuhusu lishe bora na kuboresha mazingira ya utekelezaji wa shughuli za lishe. Alihitimisha kwa kuwataka watendaji waendelee kuwa mabalozi wa lishe bora kwa wananchi wa Ileje, kwa kuhakikisha kila kaya inakuwa na uelewa na mbinu za kuandaa chakula chenye virutubisho vya kutosha.

Matangazo

  • HUDUMA ZA MATIBABU YA KIBINGWA May 26, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA TAREHE 1 MEI HADI 7 MEI 2025 April 28, 2025
  • TANGAZO LA KUFANYA USAFI SIKU YA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR April 25, 2025
  • Tembelea Zote

Mpya

  • MKURUGENZI ILEJE AONGOZA HAFLA YA KUWAAGA MADAKTARI BINGWA WA MAMA SAMIA

    May 31, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA ILEJE AWAPONGEZA WATENDAJI NA MAAFISA LISHE KWA KUPAMBANA NA UDUMAVU

    May 27, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA ILEJE AWAPONGEZA WATENDAJI NA MAAFISA LISHE KWA KUPAMBANA NA UDUMAVU

    May 27, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA ILEJE AWAKARIBISHA MADAKTARI BINGWA

    May 26, 2025
  • Tembelea Zote

Video

DD
Video Zaidi

Tovuti Mashuhuri

  • UTUMISHI WA UMMA
  • OR - TAMISEMI
  • Songwe Region
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL FACEBOOK
  • TAUSI PORTAL

Kurasa za Karibu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa